Hawa mgambo walikuwa walipwe na CCM au serikali? Tofautisha majukimu ya chama na yale ya serikali. Usije ukajibu kuwa umesema hivyo kwa sababu hii serikali ya sasa inaongozwa na CCM. I know that already. Lazima kutenganisha serikali na chama. By the way, mimi siyo supporter wa CCM.Kufuatia kitendo cha ded wilaya ya Ilemela kushindwa kuwalipa mgambo waliosimamia mitihani ya kidato cha nne mwaka jana, mgambo hao wameamua kumwaga mboga na ocd kuamua kuwapiga mabomu ya machozi na virungu, ccm mtaendelea kuumbuliwa kwa nguvu ya mungu
Ni sawa mkuu haya maoni yako ila nisaidie kitu hapa Wasira alikua Waziri mpaka siku Magufuli anaapishwa ,na ubunge alipigwa chini kwenye uchaguzi huo ,Nape sijui ni Waziri wa habari ila bado ni katibu mwenezi wa chama mpaka pale watakapo tangaza vinginevyo ,sijui tutatenganisha vipi shuguli za chama na Serikali ,Hawa mgambo walikuwa walipwe na CCM au serikali? Tofautisha majukimu ya chama na yale ya serikali. Usije ukajibu kuwa umesema hivyo kwa sababu hii serikali ya sasa inaongozwa na CCM. I know that already. Lazima kutenganisha serikali na chama. By the way, mimi siyo supporter wa CCM.
Mkuu kwa tz kutofautisha serikali na chama ni ngumu hapa tz ni kwamba ccm ndo serikali na serikali ndo ccm.Hawa mgambo walikuwa walipwe na CCM au serikali? Tofautisha majukimu ya chama na yale ya serikali. Usije ukajibu kuwa umesema hivyo kwa sababu hii serikali ya sasa inaongozwa na CCM. I know that already. Lazima kutenganisha serikali na chama. By the way, mimi siyo supporter wa CCM.
Ni kweli mkuu ccm imetushika pabaya kma ilivyo kufunika kaniki usoniWatu bwana wana shida kweli, wakiamka ccm wakilala ccm! Mbon ha ccm imewashka pabaya na bado
Mkuu salute!!!!!!!!!!!Ni sawa mkuu haya maoni yako ila nisaidie kitu hapa Wasira alikua Waziri mpaka siku Magufuli anaapishwa ,na ubunge alipigwa chini kwenye uchaguzi huo ,Nape sijui ni Waziri wa habari ila bado ni katibu mwenezi wa chama mpaka pale watakapo tangaza vinginevyo ,sijui tutatenganisha vipi shuguli za chama na Serikali ,
Juzi nkamia kawatoa nishai bungeni kwani walituongopea eti ooo tumenunua tcscan mpya ya kisasa kumbe wameihamisha toka kwa kina matonya,hivi wanamuongopea nani hasa?Ni kweli mkuu ccm imetushika pabaya kma ilivyo kufunika kaniki usoni
Kweli mungu hamfichi mnafiki na bado tutaendelea kuyajua mengi na huo ndio utakuwa mwanzo wa anguko kubwa la serikali ya hapa kazi tuuuuSio mgambo tu ambao hawajalipwa....
Wasimamizi wote pia hawajalipwa pesa za semina ya usimamizi wa mtihani husika...
Wataalamu wa maabara (Label technicians) pia hawajalipwa hata senti moja
Mkuu hiyo ndio maana haswa ya chimbuko la jina lao la nyumbu,ingawa wana majina mengi sanaIla CCM saa zingine badala ya kuwakasirikia unabaki kucheka tu. Yani ni watu waongo cjawahi kupata kuona. Ndio kunakudanganya ila yao too much.
Maswi alipopelekwa TRA watu humu wenye uelewa tulipinga inakuaje. Vijana walumumba wakaja mbio humu na kutupinga na kutukejeli.
Alipoamishwa eti ikawa inadanganya eti alipelekwa pale kwa kazi maalum eti Yeye tiss sasa kazi yake imeisha akapewa awe RAS. Yani nilicheka sana. Badala wangekubali tu kama wanaume mkurupukaji kachemka
Nape nauye ni katibu mwenezi wa ccm at the same time ni waziri wa wizara hapa nchini,mwigulu ni mweka hazina wa ccm lkn bado ni waziri,hapo unatofatishaje ccm na serikali?Hawa mgambo walikuwa walipwe na CCM au serikali? Tofautisha majukimu ya chama na yale ya serikali. Usije ukajibu kuwa umesema hivyo kwa sababu hii serikali ya sasa inaongozwa na CCM. I know that already. Lazima kutenganisha serikali na chama. By the way, mimi siyo supporter wa CCM.