Nilivyo ziona tu zile picha kwenye huo uzi wa Kahama na story yenyewe ilivyo andikwa (haikutaja chanzo cha fujo, kwanini wafuasi wa CDM walianzisha fujo) nikajua tu moja kwa moja hi kitu imepikwa, na nilipoona mtu wa kwanza ku-comment ni mwana wa mfalme anf bimkubwa FF na zemarcopolo wame like nika join dots, nikaupitiliza ule uzi. "You can fool some people sometimes but you can't fool all the people all the time" By Bob Marley and the wailers!