Najitokeza kueleza kero yangu na hasa kuwashitaki polisi,CCM na baadhi ya vyombo vya habari kama magazet na redio.
Nawaandikia ninyi nguvu ya umma kupitia jf,kuwa katika vurugu zinazoendelea katika kata 27 za kampeni ya uchaguzi,watz hasa CHADEMA,wamekuwa wakipigwa mapanga,lakini polisi na vyombo vya habari vikapiga kimya.
Waheshimiwa nguvu ya uma,haya yametokea Arusha,watu wamepigwa mapanga,wahalifu wa CCM wakatajwa lakini polisi wakawalinda badala ya kuwakamata.
CCM wamekuwa wakijua na kushiriki kwa hili,kwan kwenye mkutano wao wa ufunguzi Arusha,walisema watashinda hata kwa kuua,kwenda kwa waganga au kununua shahada.
Kule Bunda kata ya Nyasura,katibu wa CCM aliwaleta askari wa JKT kama 30 hivi kuwapiga na kujeruhi watu ili waonekane ni CHADEMA, si polisi,wala vyombo vya habari vilivyokemea hilo.
Cha kushangaza,eti kule Kahama,polisi wamepiga watu,lakini vyombo vya habari vikaripoti tena kwa kuwataja CHADEMA kuwa ndo wahusika.
Polis hajawakamata waliofanya hivo zaidi ya kumkamata mbunge wa CHADEMA na kumhoji.
Polis hamko fair na haki ya Mungu nawashitaki kwa nguvu ya umma.Kote CCM wanakopiga watu ni dalili kuwa watashindwa uchaguzi.
Ndg nguvu ya umma,hivi inaingia akilini,wavamizi wapasue gari vioo,wawapige watu mapanga,polisi mpo wapii? Kazi yenu ni nin nini?
Halafu mbona haya mapanga yamewapata tu raia wetu kichwa na mikono? Hivi ukatwe panga la kichwa jana,halafu leo ukasimama na kuongea? Mbona si nesi,wala daktari anaeonekana akiwatibu hao watu? Iweje vyombo vya habar vipige picha wagonjwa bila docta kuwa hapo?
Sasa tumechoka,nasema tumechoka,' polisi na CCM lenu moja,nasema fanyen hivi lakini siku ipo ambapo nguvu ya umma haitavumilia tena.
Naishia hapa,ila wana nguvu ya uma je hii ni haki?
Wenu katka mapambano,
lendapa