Ccm oyeee @ccm_tanzania

Ccm oyeee @ccm_tanzania

retweeted

JF-Expert Member
Joined
Aug 1, 2016
Posts
1,339
Reaction score
920
Yani hadi ifike 2025 si dhani kama kutakuwa na chama kinacho itwa CHADEMA kwa hali nayo iona sijui..
 
Mimi sijui ni upungufu wa mawazo fikra au nini haswa?
Au ndo tuseme ni kulizika na hali au nini hasa?
maana nashindwa kuwaelewa mtanzania na watanzania wa aina yako au kwako maisha yamekuwa mepesi kiasi gani kwako?
 
Yani hadi ifike 2025 si dhani kama kutakuwa na chama kinacho itwa CHADEMA kwa hali nayo iona sijui..
730bb78b968d130d3d774c1e257d1d5b.jpg
 
Inasikitisha sana,kuona watu wa aina ya mleta mada wanatoka kifua mbele kufurahia hujuma za chama kandamizi,
Kweli hii in nchi ya vi wonder
 
Stephen Wassira kipindi hicho akiwa waziri katika serikali ya awamu ya nne ilikuwa mwaka 2008~09 kama sijakosea alitamka hadharani tena akaapa kwamba haitafika mwaka 2012 Chadema lazima itakuwa imekufa.
Leo ni mwaka 2018. Najaribu tu kuwaza kwa sauti.
 
Back
Top Bottom