Kwa majibu ya Ndugai kwamba upinzani wanavyopiga kelele ili katiba ifanyiwe marekebisho kuruhusu maraisi wastaafu kushtakiwa wanapaswa kukumbuka kuwa wana maraisi wastaafu wawili, tafsiri yake ni kwamba Serikali (CCM) ina nia ya kufanya hivyo ila wanahofia mawaziri hawa wakuu wastaafu nao watashtakiwa. Najiuliza maswali haya
1. Hivi inaingia akilini kweli kwamba serikali inahofia hawa watu???
2. Wao ni nani hadi muwaogope?mbona ccm mnajiaibisha hivyo??
3. Mnavyopiga kelele kila uchwao kwamba kuna mafisadi wako upinzani,mkiwa kama chama dola wenye serikali na majeshi, mbali zaidi mna mahakama ya mafisadi kweli mmeshindwa kuchukua hatua? mbona mnaogopa kuwakamata?? usafi na uzalendo uko wapi kama sio unafiki?
LETS BE SERIOUS BWANA,TUSIDANGANYANE KAMA WATOTO. KAMA LOWASA,SUMAYE NK WALIIBA KAMATA,SHTAKI FUNGA. TUDIAMBIZANE SIJUI HAKUNA MPINZANI ATAPONA WALA NINI
kufanya hivyo kunaonyesha kwamba mnajua maovu mengi ya baadhi ya watu na mnawaficha. chama kinachoficha na kulea uovu hakifai