Petro E. Mselewa
JF-Expert Member
- Dec 27, 2012
- 10,346
- 26,143
Kwakuwa mama yako na baba yako wako ccm unatupa tafsiri gani kwahii kauli yako.ccm ina laana ya Allah,hakuna mwenye hofu ya Allah
Tarifa mbovu haina uthibitisho imebeba umbea mtupu bila hata chenga lakini ndiyo kazi mliyopewa bavicha na dj wenu endeleeni.
ccm ina laana ya Allah,hakuna mwenye hofu ya Allah
Yaani mambo ya kimaendeleo yanayofanywa kwa wananchi wanayaona kama zawadi au fadhila. Siku ya uzinduzi waandishi watajazwa;hotuba za tambo zitatolewa na kadhalika. Mambo ya ajabu kabisa!
Hoja ni hizi. Mosi,kama chama tawala chenye Serikali yenye dhamana zote za mapato ya kiinchi,kuleta maendeleo ni wajibu wao wa lazima. Wananchi wapatiwe maji,umeme,shule,vivuko,barabara,hospitali na huduma nyinginezo kama haki yao na si fadhila.
Pili,hakuna uwiano mzuri kati ya rasilimali tulizonazo kama taifa;pato la taifa na maendeleo yanayopatikana. Wananchi hawaoni matumizi sahihi na ya kimaendeleo ya utajiri wa nchi hii. Hadi leo,baada ya miaka hamsini na mbili ya Uhuru,CCM na serikali yake inazindua shule ya sekondari au kisima halafu wanajitamba!?
huu mchaango wako unahusiana na mada yenyewe au ulikuwa facebook?
Visima na shule za sekondari ndiyo huduma zenyewe za jamii, wewe ulitaka wazindue sayari ya watanzania nini?
Dah Mkuu, unatonesha jeraha ambalo bado ni bichiAtakuwa shabiki wa BRAZIL huyo, achana naye.
CCM ni chama kinachowaletea maendeleo wananchi. Si hawa ambao hata fedha za walipa kodi wanazopata kama ruzuku haijulikani zinaenda wapi.
Mpira uchezwe uwanjani huko Brazili wengine wanaonesha hasira zao kwa serikali. Huu ni upuuzi wa hali ya juu sana
Mpira uchezwe uwanjani huko Brazili wengine wanaonesha hasira zao kwa serikali. Huu ni upuuzi wa hali ya juu sana
Visima na shule za sekondari ndiyo huduma zenyewe za jamii, wewe ulitaka wazindue sayari ya watanzania nini?
Mkuu huyu mleta mada atakuwa na faili MIREMBE. Anasema ni wajibu wa serikali kuwaletea wananchi maendeleo na hivyo hakuna sabau ya kutamba. Kwa akili ya kawaida sidhani kama kuna mtu anamuelewa anachokisema ni nini