CCM ni slow learners muwavumilie

njundelekajo

JF-Expert Member
Dec 26, 2012
310
227
WENZETU WA C.C.M WANATABIA YA KUCHELEWA KUELEWA TUWAVUMILIE!!

Na Nguzo Noel .R.

Thomas Alva Edson mgunduzi wa balb za umeme anaamini akili nyingi na uelewa ni matokeo ya bidii ya kufikiri!!

Dr Afred Barrious mwanasaikojia na mwandishi wa kitabu "Towards greater freedom and Happiness (1978) yeye anaamini uwezo wa kufikiri na kuelewa unachagizwa na mazingira!!

Huwezi kua na bidii ya kufikiri ukiwa C.C.M kwakua hakuna mazingira yanayochochea kufikiri!!Unafiki kama sifa kuu ya wanac.c.m unadumaza mno uwezo wa kufikiri wa wanac.c.m wengi!!

Tujikumbushe machache yafuatayo:-

ELIMU BURE

" Elimu ya ngazi ya msingi na sekondari itagharamiwa na serikali kuu pamoja na serikali za mitaa.(CHADEMA 2010 ilani ya uchaguzi ukurasa wa 15)

....iliwachukua miaka 5 kuelewa!!

"Kuanzia mwakani wanafunzi wote kutoka elimu ya awali mpaka kidato cha nne watasoma bila kulipa ada" Dr Magufuli (14/9/2015 Tabora uwanja wa Alhasan Mwinyi)

WILSON KABWE

"Kuna mtu nchi hii anaitwa Wilson Kabwe,huyu alikua ni mkurugenzi wa jiji la Mwanza,huyu kabwe achukuliwe hatua za kinidhamu" (Wenje Ezekiel. Bunge la 10,mkutano WA 18 kikao cha 7)

...iliwachukua mwaka mmoja kuelewa

"Niliunda kamati iliyoongozwa na mwanasheria wa mkoa na afsa biashara waliifanya kazi hii kwa umakini na hatupo hapa kwa ajili ya kumuonea mtu,Mh Rais yapo mengi tu lakini kaka yangu Kabwe ndiye msimamiz na signatory wa mikataba yote niliyoieleza" (Paul Makonda 19/4/2016)

SHEREHE ZA UHURU

"Mh spika kambi rasm ya upinzani inaitaka serikali ichague sherehe zipi zenye tija kwa taifa na zipi hazina tija na zifanyike kila baada ya miaka miwili au mitatu"(Freeman Elikael Mbowe 26/6/2012

...iliwachukua miaka 3 kuamini

" ni haibu kwa kwa taifa hili kuadhimisha miak 54 ya Uhuru mwaka huu huku taifa likikabiliwa na ugonjwa wa kipindupindu" (Kurugenzi ya mawasiliano ikulu 23/11/2016)

SAFARI ZA NJE YA NCHI

"rais Kikwete amefanya jumla ya safari 409 nje ya nchi akitumia zaidi ya trillion 4 fedha ambazo zingeweza kutumika kwenye miradi ya maendeleo" (Jamea Mbatia 15/9/2015)

....siku 65 baadae wakaelewa!!

"kuna watu wamesafiri nje ya nchi Mara nyingi zaidi kuliko hata walivyokwenda kijijini kwao"(J.P.M 20/11/2016)

Leo tunawaambia hakuna muongozo wa kazi WA watendaji sio kama wanabisha hawajaelewa!!

Tunawaambia huu utumbuaji holela wa majipu usiofata utaratibu uachwe hawajaelewa!!

Tunawaambia Pesa za serikali matumizi yake hayaidhinishwi chato kuna utaratibu wa kibunge ..!!

Labda Robart Crooks na Jean Stein wapo sahihi sana walivyoandika kwenye kitabu chao " Psychology science" kwamba wazazi wenye uwezo mkubwa wa kuelewa mambo huzaa watoto wenye uwezo mkubwa kiakili pia!!

Lazima uamini hivi kama huoni mwanachama WA C.C.M anayesifia upinzani wakati huu lakini huyohuyo atamsifia kiongozi WA c.c.m akitenda ya wapinzani

Unapokua na Katibu wa chama kama Dr Kashinji na upande mwingine wana Bw Kinana kuna vitu vya kutegemea!!

Unapokua na kiongozi wa chama aina ya John Mnyika na upande mwingine wakawa na Nape Nauye kuna aina ya uelewa na fikra za kutegemea!!

Inawezekana ukashindwa hata kujua kama bunge ni ni sawa "mkutano wa hadhara" ukalazimisha ufanyike sirini

WASIPOTUELEWA SASA TUSIWASUBIRI TUENDELEE NA MENGINE TU

By Nguzo Noel .R.
 
Hoja zenye ushahidi kama hivi zinawasaidia wananchi kuelewa na pia chama tawala kujisahihisha.Lakini kama kawaida spinning doctors wapo na kukipambazuka itageuzwa kichwa juu miguu chini.
 
Nguzo Noel MKUU CCM ni vile vichwa vigumu yote ayafanyayo Mh.Magufuli yalikwisha semwa Na Vyama vya Upinzani Tunamshukuru kutekeleza Ilani ya Ukawa.
 
WENZETU WA C.C.M WANATABIA YA KUCHELEWA KUELEWA TUWAVUMILIE!!

Na Nguzo Noel .R.

Thomas Alva Edson mgunduzi wa balb za umeme anaamini akili nyingi na uelewa ni matokeo ya bidii ya kufikiri!!

Dr Afred Barrious mwanasaikojia na mwandishi wa kitabu "Towards greater freedom and Happiness (1978) yeye anaamini uwezo wa kufikiri na kuelewa unachagizwa na mazingira!!

Huwezi kua na bidii ya kufikiri ukiwa C.C.M kwakua hakuna mazingira yanayochochea kufikiri!!Unafiki kama sifa kuu ya wanac.c.m unadumaza mno uwezo wa kufikiri wa wanac.c.m wengi!!

Tujikumbushe machache yafuatayo:-

ELIMU BURE

" Elimu ya ngazi ya msingi na sekondari itagharamiwa na serikali kuu pamoja na serikali za mitaa.(CHADEMA 2010 ilani ya uchaguzi ukurasa wa 15)

....iliwachukua miaka 5 kuelewa!!

"Kuanzia mwakani wanafunzi wote kutoka elimu ya awali mpaka kidato cha nne watasoma bila kulipa ada" Dr Magufuli (14/9/2015 Tabora uwanja wa Alhasan Mwinyi)

WILSON KABWE

"Kuna mtu nchi hii anaitwa Wilson Kabwe,huyu alikua ni mkurugenzi wa jiji la Mwanza,huyu kabwe achukuliwe hatua za kinidhamu" (Wenje Ezekiel. Bunge la 10,mkutano WA 18 kikao cha 7)

...iliwachukua mwaka mmoja kuelewa

"Niliunda kamati iliyoongozwa na mwanasheria wa mkoa na afsa biashara waliifanya kazi hii kwa umakini na hatupo hapa kwa ajili ya kumuonea mtu,Mh Rais yapo mengi tu lakini kaka yangu Kabwe ndiye msimamiz na signatory wa mikataba yote niliyoieleza" (Paul Makonda 19/4/2016)

SHEREHE ZA UHURU

"Mh spika kambi rasm ya upinzani inaitaka serikali ichague sherehe zipi zenye tija kwa taifa na zipi hazina tija na zifanyike kila baada ya miaka miwili au mitatu"(Freeman Elikael Mbowe 26/6/2012

...iliwachukua miaka 3 kuamini

" ni haibu kwa kwa taifa hili kuadhimisha miak 54 ya Uhuru mwaka huu huku taifa likikabiliwa na ugonjwa wa kipindupindu" (Kurugenzi ya mawasiliano ikulu 23/11/2016)

SAFARI ZA NJE YA NCHI

"rais Kikwete amefanya jumla ya safari 409 nje ya nchi akitumia zaidi ya trillion 4 fedha ambazo zingeweza kutumika kwenye miradi ya maendeleo" (Jamea Mbatia 15/9/2015)

....siku 65 baadae wakaelewa!!

"kuna watu wamesafiri nje ya nchi Mara nyingi zaidi kuliko hata walivyokwenda kijijini kwao"(J.P.M 20/11/2016)

Leo tunawaambia hakuna muongozo wa kazi WA watendaji sio kama wanabisha hawajaelewa!!

Tunawaambia huu utumbuaji holela wa majipu usiofata utaratibu uachwe hawajaelewa!!

Tunawaambia Pesa za serikali matumizi yake hayaidhinishwi chato kuna utaratibu wa kibunge ..!!

Labda Robart Crooks na Jean Stein wapo sahihi sana walivyoandika kwenye kitabu chao " Psychology science" kwamba wazazi wenye uwezo mkubwa wa kuelewa mambo huzaa watoto wenye uwezo mkubwa kiakili pia!!

Lazima uamini hivi kama huoni mwanachama WA C.C.M anayesifia upinzani wakati huu lakini huyohuyo atamsifia kiongozi WA c.c.m akitenda ya wapinzani

Unapokua na Katibu wa chama kama Dr Kashinji na upande mwingine wana Bw Kinana kuna vitu vya kutegemea!!

Unapokua na kiongozi wa chama aina ya John Mnyika na upande mwingine wakawa na Nape Nauye kuna aina ya uelewa na fikra za kutegemea!!

Inawezekana ukashindwa hata kujua kama bunge ni ni sawa "mkutano wa hadhara" ukalazimisha ufanyike sirini

WASIPOTUELEWA SASA TUSIWASUBIRI TUENDELEE NA MENGINE TU

By Nguzo Noel .R.
, Umeongea Ukweli mtupu, ila ngoja waamke,jiandae na mwamvuli kuzuia mvua ya mate!
 
Wanafiki wakubwa ni CHADEMA tukianza na Mnyika aliwahi kusema anaushahidi wa kutosha juu ya ushiriki wa lowasa katika ufisadi wa richmond mpaka leo kanywea, ukija kwa mchungaji msigwa ndio usiseme maana yeye alisema anayemshabikia lowasa akapimwe akili , yaani nyie chadema sijui mmekula maha
 
Wanafiki wakubwa

1. Sasa hivi wapinzani wanatetea waliotumbuliwa majibu na wala rushwa, au kwa sababu tu kubwa lao lipo upande wao .

2. Sasa hivi wapinzani wanalilia kwenda nje kukagua majengo ya balozi.

3. Sasa hivi wanapinzani wanapinga matumizi ya fedha zilizotakiwa kutumika kwa ajili ya sherehe na tafrija, baada ya kuelekezwa kutumika kujenga barabra na kununua madawati.

4. Hawa jamaa "wapinzani" walituaminisha kuwa baadhi ya watu ni fisadi na wana ushahidi, lakini sasa hao watu wako nao.

5. Hawa, wapinzani ni majipu pia.
 
Hayo hapo ndo mate yenyewe sasa, mtoa mada uwe tu na mwamvuli, umeleta hoja, mwenzio asiye na akili kapeleka kwa lowasa
 
Haaaaaaaa ndo seheme yenyewe hiyo ya slow learning mkuu wala usigafirike tu naenda nap taratibu wataelewa hata mwakani
 
Watu wa ccm huwa natafafta kitu cha kuwafananisha nao kinakosa labda tu uwaambie kuiba tofauti na hapo sijui nisemeje!kwao 1+3=5 bure kabisa
 
Wanafiki wakubwa ni CHADEMA tukianza na Mnyika aliwahi kusema anaushahidi wa kutosha juu ya ushiriki wa lowasa katika ufisadi wa richmond mpaka leo kanywea, ukija kwa mchungaji msigwa ndio usiseme maana yeye alisema anayemshabikia lowasa akapimwe akili , yaani nyie chadema sijui mmekula maha
akili ndogo hufikilia watu, akili ya wastani hifikilia matukio na akili kubwa hufikilia hoja!
 
WENZETU WA C.C.M WANATABIA YA KUCHELEWA KUELEWA TUWAVUMILIE!!

Na Nguzo Noel .R.

Thomas Alva Edson mgunduzi wa balb za umeme anaamini akili nyingi na uelewa ni matokeo ya bidii ya kufikiri!!

Dr Afred Barrious mwanasaikojia na mwandishi wa kitabu "Towards greater freedom and Happiness (1978) yeye anaamini uwezo wa kufikiri na kuelewa unachagizwa na mazingira!!

Huwezi kua na bidii ya kufikiri ukiwa C.C.M kwakua hakuna mazingira yanayochochea kufikiri!!Unafiki kama sifa kuu ya wanac.c.m unadumaza mno uwezo wa kufikiri wa wanac.c.m wengi!!

Tujikumbushe machache yafuatayo:-

ELIMU BURE

" Elimu ya ngazi ya msingi na sekondari itagharamiwa na serikali kuu pamoja na serikali za mitaa.(CHADEMA 2010 ilani ya uchaguzi ukurasa wa 15)

....iliwachukua miaka 5 kuelewa!!

"Kuanzia mwakani wanafunzi wote kutoka elimu ya awali mpaka kidato cha nne watasoma bila kulipa ada" Dr Magufuli (14/9/2015 Tabora uwanja wa Alhasan Mwinyi)

WILSON KABWE

"Kuna mtu nchi hii anaitwa Wilson Kabwe,huyu alikua ni mkurugenzi wa jiji la Mwanza,huyu kabwe achukuliwe hatua za kinidhamu" (Wenje Ezekiel. Bunge la 10,mkutano WA 18 kikao cha 7)

...iliwachukua mwaka mmoja kuelewa

"Niliunda kamati iliyoongozwa na mwanasheria wa mkoa na afsa biashara waliifanya kazi hii kwa umakini na hatupo hapa kwa ajili ya kumuonea mtu,Mh Rais yapo mengi tu lakini kaka yangu Kabwe ndiye msimamiz na signatory wa mikataba yote niliyoieleza" (Paul Makonda 19/4/2016)

SHEREHE ZA UHURU

"Mh spika kambi rasm ya upinzani inaitaka serikali ichague sherehe zipi zenye tija kwa taifa na zipi hazina tija na zifanyike kila baada ya miaka miwili au mitatu"(Freeman Elikael Mbowe 26/6/2012

...iliwachukua miaka 3 kuamini

" ni haibu kwa kwa taifa hili kuadhimisha miak 54 ya Uhuru mwaka huu huku taifa likikabiliwa na ugonjwa wa kipindupindu" (Kurugenzi ya mawasiliano ikulu 23/11/2016)

SAFARI ZA NJE YA NCHI

"rais Kikwete amefanya jumla ya safari 409 nje ya nchi akitumia zaidi ya trillion 4 fedha ambazo zingeweza kutumika kwenye miradi ya maendeleo" (Jamea Mbatia 15/9/2015)

....siku 65 baadae wakaelewa!!

"kuna watu wamesafiri nje ya nchi Mara nyingi zaidi kuliko hata walivyokwenda kijijini kwao"(J.P.M 20/11/2016)

Leo tunawaambia hakuna muongozo wa kazi WA watendaji sio kama wanabisha hawajaelewa!!

Tunawaambia huu utumbuaji holela wa majipu usiofata utaratibu uachwe hawajaelewa!!

Tunawaambia Pesa za serikali matumizi yake hayaidhinishwi chato kuna utaratibu wa kibunge ..!!

Labda Robart Crooks na Jean Stein wapo sahihi sana walivyoandika kwenye kitabu chao " Psychology science" kwamba wazazi wenye uwezo mkubwa wa kuelewa mambo huzaa watoto wenye uwezo mkubwa kiakili pia!!

Lazima uamini hivi kama huoni mwanachama WA C.C.M anayesifia upinzani wakati huu lakini huyohuyo atamsifia kiongozi WA c.c.m akitenda ya wapinzani

Unapokua na Katibu wa chama kama Dr Kashinji na upande mwingine wana Bw Kinana kuna vitu vya kutegemea!!

Unapokua na kiongozi wa chama aina ya John Mnyika na upande mwingine wakawa na Nape Nauye kuna aina ya uelewa na fikra za kutegemea!!

Inawezekana ukashindwa hata kujua kama bunge ni ni sawa "mkutano wa hadhara" ukalazimisha ufanyike sirini

WASIPOTUELEWA SASA TUSIWASUBIRI TUENDELEE NA MENGINE TU

By Nguzo Noel .R.

Babeli sio kosa lako hebu soma huu uzi utakusaidia kugundua udhaifu wako.
 
Mtoa mada umeandika vizuri sana na ndio sayansi inavyotaka lakini nina uhakika kuna watu hawatakulewa na wengine watakuelewa baadaye kutokana na maumbile yao kuelewa kidogokidogo kama walivyokuja kuelewa baadaye hayo wanayoyasifia leo.
 
Wanafiki wakubwa

1. Sasa hivi wapinzani wanatetea waliotumbuliwa majibu na wala rushwa, au kwa sababu tu kubwa lao lipo upande wao .

2. Sasa hivi wapinzani wanalilia kwenda nje kukagua majengo ya balozi.

3. Sasa hivi wanapinzani wanapinga matumizi ya fedha zilizotakiwa kutumika kwa ajili ya sherehe na tafrija, baada ya kuelekezwa kutumika kujenga barabra na kununua madawati.

4. Hawa jamaa "wapinzani" walituaminisha kuwa baadhi ya watu ni fisadi na wana ushahidi, lakini sasa hao watu wako nao.

5. Hawa, wapinzani ni majipu pia.
Unadhihirisha maneno ya hii mada!
 
Back
Top Bottom