CCM Sio vilaza tu, walikimbia umande wote na wanaogopa madawati vibaya mno ndio maana kwao 9 x 0 = 90 nabungeni mmoja wao anasimama akijiamini nakusema 49 + 35 = 4935 wote bila kujijua ni mambumbumbu wanapiga makofi hadi wanasimama.
Fafanua ni wapi CCM ilipoingia choo cha kike, vinginevyo post itakuwa to general to discuss hivyo kuweza kuleteleza general conclusion. Nashauri uwe specific mkuu.
Fafanua ni wapi CCM ilipoingia choo cha kike, vinginevyo post itakuwa to general to discuss hivyo kuweza kuleteleza general conclusion. Nashauri uwe specific mkuu.