CCM ni Mahututi-Dr Slaa

Ni kwasababu CDM haijazoea wizi! CDM wanapambana kwa sera CCM wanapambana kwa wizi wa kura!
Wait your days are numbered! 2015 hamtatoboa hata mngefanyaje!

Matokeo yake kila uchaguzi CDM inagaragazwa vibaya!!
 
Nikisoma habari kama hizi nasikia furaha na sisimko la moyo!
Namuomba Mungu wa mbinguni aendelee kumlinda Dr Slaa, team yote ya CDM pamoja na wote wanaoingoja ile siku kuu ya mabadiliko ya kweli ktk nchi yetu! Mungu tupe moyo wa subira na mshikamano hata tuione ile siku ambayo mioyo yetu inaingoja kwa kiu na shauku kuu AMEN!

Mkuu umenena vema sana.Pamoja sana mkuu.
 
Ni nani asiyejua kuwa kinana ni fisadi? hata wewe unayemsemea unajua hivyo, lakini haishangazi kwa kuwa wote mnaongea lugha moja
 
Mungu amejibu sala zetu za kutupatia Tanzania mpya. Mungu ibariki afrika mungu ibariki cdm

Na hakika Mungu ndiye muamuzi wa haki.Tanzania hatimaye itakombolewa.
 
CCM is severely ill in ICU vainly fighting for survival but unfortunately the only effective remedy is euthanasia!
 
Mzee tangaza sera acha kuhangaika na kinana humuwezi,atakupiga tu penda usipende

Kinana ni mashine nyingine padri hana tofauti na yule waziri wa Iraq aliyekua anaitwa Alsaef ambaye licha ya kichapo ambacho majeshi ya Irack yalikua yakipokea kutoka NATO aliendelea kuaminisha umma kuwa NATO wanateketea na karibu watasurrender ,huyu padri hana jipya juzi mmetoka katika uchaguzi za diwani pamoja na tambo zote za M4D yani movement for death mmeambulia viti vitano kati ya rati ya 29 ni uwendawazimu kusema ccm iko mahututi chama chenye wabunge zaidi ya 250 wewe unawabunge 40,hii si lolote ni uwendawazimu na kucheza na political seikolloji ,Padri aliyeasi anawalisha wanachama wake upepo na wanaamini kuwa 2015 watakamata dola tupo hapa Mungu akitupa uzima chadema bado hamjajijenga kushinda uchaguzi wa Rais ,ni vema ukaedelea na Alsaefism ktk propaganda kuwa ccm iko mahututi, sababu ya msingi huyu mzee anashindwa kujua kuwa watu wake wanamlalamikia sana tena wa ndani hekma alonayo mbowe slaa hana hata robo yake ,mimi ni pure ccm lakini naguswa sana na utulivu wa Freeman Mbowe wisdom alonayo mbowe sina mashaka akisema anataka kuwaongoza watanzania ,lakini padri nakupa unabii hutaweza kuingia ikulu kutuongoza watanzania .Naam ipo siku chadema wataweza kushika dola lakini padri slaa hana ubavu wa kuiongoza hii nchi ,hana sifa wala tabia za kuwa taswira ya taifa unajua watu hawaelewi tuu ,kuwa na ujasiri wa kuwalipua watu does not approve some ones candetibility to vie for this post! CHADEMA JENGENI CHAMA LAKINI BADO HAMJAUNGWA MKONO KUKABIDHIWA KULIONGOZA HILI TAIFA !hata ndugu yangu zito anajilisha upepo tuu! Na anajua wazi afanyalo kuwa 2015 hawezi kuwa Rais wa nchi !
 
Very poor and Ignorant!
 
Noted Mkuu
 
Mkuu umeelezea vema sana.
 
Tangu lini CCM wakatuchagulia silaha ?

-Nilitegemea ungejenga hoja kwa nini CCM si mahtuti

You should use aurgument to defend your old corrupt party,not gibberish hogwash
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…