CCM ni hatari kwa Tanzania

CCM ni hatari kwa Tanzania

My Son drink water

JF-Expert Member
Joined
Nov 30, 2016
Posts
4,930
Reaction score
13,333
Mtaji wao mkubwa ni idadi kubwa ya Watanzania wajinga, mtu mjinga ni mtu mwenye akili duni iliyochoka hata kifikra, ni mtu hatari ambaye anaweza kufanya lolote ili ashibe tu bila kujali nini kitatokea.

Ni CCM ya kina Mwigulu Nchemba wanaokula mishahara ya mamilioni ya pesa kwa mwezi, ndo wanaowasimanga watanzania maskini kwenye tozo eti kama hawataki wahamie Burundi.

Ndo hawa watu wanaomkufuru Mungu kila siku eti chama chao kitaitawala Tanzania milele yote. Ndo hawa wanaozunguka wakifanya ushirikina kila mwaka kutumia Mwenge, eti Mwenge uchome mafisadi wakati majizi yote Tanzania yapo CCM .

Taifa bado halina mbele wala nyuma,bora siku ziende.
 
Kuikoa Tanganyika inawezekana tu kwa vijana na wazee wote kuacha ushabiki wa kisiasa na wote kukubaliana kwenye kila jambo lenye maslahi kwa wananchi.

Watanzania wengi wetu ni wanasiasa either CCM au CDM nk, na wengi wetu tumejikuta tukisimamia hapa bila kuangalia maslahi yetu na vizazi vyetu nakukubaliana kwenye kila jambo linalotuumiza wanannchi.

Siku tutakayoweza kusimamia pamoja na kusimama tukisema hili NDIO au HAPANA kwa faida yetu wananchi basi ndio siku CCM either itajirekebisha au itatoka madarakani.

Raia wa Watanzania wengi wetu ni poa poa sana na hatujijali na kujali vizazi vyetu baadala yake tumekuwa mashabiki wa wachache wanaotuumiza.

LEO NA KESHO YA TANGANYIKA IKO MIKONO MWA WATANGANYIKA WENYEWE KUAMUA KUPAMBANA NA ADUI YAO MMOJA ALIYEWAGAWANYA VIPANDE VIPANDE na kutengeneza circle ya ulaji kupitia watu mbalimbali.

TUWEKE DINI ZETU PEMBENI, MAKABILA YETU PEMBENI TUANZE SASA KWA UCHUNGU KUPIGANIA UTANGANYIKA WETU NA KURUDISHA HESHIMA NA UTU WA MWANADAMU MTANGANYIKA.
 
Mtaji wao mkubwa ni idadi kubwa ya Watanzania wajinga, mtu mjinga ni mtu mwenye akili duni iliyochoka hata kifikra, ni mtu hatari ambaye anaweza kufanya lolote ili ashibe tu bila kujali nini kitatokea.

Ni CCM ya kina Mwigulu Nchemba wanaokula mishahara ya mamilioni ya pesa kwa mwezi, ndo wanaowasimanga watanzania maskini kwenye tozo eti kama hawataki wahamie Burundi.

Ndo hawa watu wanaomkufuru Mungu kila siku eti chama chao kitaitawala Tanzania milele yote. Ndo hawa wanaozunguka wakifanya ushirikina kila mwaka kutumia Mwenge, eti Mwenge uchome mafisadi wakati majizi yote Tanzania yapo CCM .

Taifa bado halina mbele wala nyuma,bora siku ziende.
Karibu Jukwaani Mkuu
 
Ifike mahala raia tunafungulia viongozi wenyewe mashitakal ya genocide kwa ubadhirifu na maamuzi yao ya hovyo yaliyoacha vifo vya mamilioni ya watu.

Hizi kesi zinaweza kufunguliwa kila kona ya dunia kuanzia hapahapa na wenzetu diaspora, lakini pia wananchi tuonyeshe hasira za moja kwa moja kwa kila maamuzi ya hovyo either kwa kuwazomea wahusika au kuwapiga hata mawe wakipita.

Leo kuna watu wapaswa kuzomewa au kupigwa mawe majimboni kwao na vijijini kwao na hata kwenye mazishi yao kutokana na maamuzi yao pamoja na ujinga wao unaowaletea mamilioni ya watanzania umasikini, maradhi na vifo.
 
Mtaji wao mkubwa ni idadi kubwa ya Watanzania wajinga, mtu mjinga ni mtu mwenye akili duni iliyochoka hata kifikra, ni mtu hatari ambaye anaweza kufanya lolote ili ashibe tu bila kujali nini kitatokea.

Ni CCM ya kina Mwigulu Nchemba wanaokula mishahara ya mamilioni ya pesa kwa mwezi, ndo wanaowasimanga watanzania maskini kwenye tozo eti kama hawataki wahamie Burundi.

Ndo hawa watu wanaomkufuru Mungu kila siku eti chama chao kitaitawala Tanzania milele yote. Ndo hawa wanaozunguka wakifanya ushirikina kila mwaka kutumia Mwenge, eti Mwenge uchome mafisadi wakati majizi yote Tanzania yapo CCM .

Taifa bado halina mbele wala nyuma,bora siku ziende.
Endelea Kupiga kazi na kujenga nchi, muda huu ni muda wa lunch baada ya kujenga nchi kuanzia saa Moja ,natumaini na wewe upo kwenye mishe za kutafuta pesa.Siasa haiwezi kukuletea chakula mezani unless umeajiriwa kwenye siasa.#achagubu #tafutahela.
 
  • Thanks
Reactions: cpt
Tanzania chini ya mh Rais wetu mpendwa mama Samia suluhu Hassani inasonga mbele kimaendeleo kuliko wakati wowote uke katika historia ya nchi yetu, kwa Sasa watanzania wanajivunia maendeleo yote yanayopatikana maana wanajuwa ni yao na yametokana na juhudi zao na jasho lao, watanzania wa Sasa siyo wakudanganywa na wapinzani waliokosa Sera na ajenda Zaid ya kudandia vimatukio tukio
 
Endelea Kupiga kazi na kujenga nchi, muda huu ni muda wa lunch baada ya kujenga nchi kuanzia saa Moja ,natumaini na wewe upo kwenye mishe za kutafuta pesa.Siasa haiwezi kukuletea chakula mezani unless umeajiriwa kwenye siasa.#achagubu #tafutahela.

siasa inaweza isilete chakula mezani, lakini siasa inaweza kuleta hali mbaya ya maisha inayoweza kupelekea njaa na ukosefu wa chakula mezani.

Siasa inaweza kufanya biashara zikawa ngumu kutokana na maamuzi mabovu ya wanasiasa, siasa inaweza kufanya upatikanaji wa hela ukawa mgumu kutokana na maamuzi ya hovyo ya wanasiasa. siasa inaweza kufanya amani ikatoweka kutokana na maamuzi mabovy na ya hovyo ya wanasiasa.

Siasa inaweza kufanya mfumo wa elimu ukawa mbovu na kuzalisha vijana wasiojielewa na kusababisha matatizo makubwa kwenye jamii kutokana na maamuzi ya hovyo ya wanasiasa.

Siasa kupitia maamuzi ya hovyo ya wanasiasa inaweza kufanya upatikanaji wa ajira ukawa mgumu na zisiwepo kabisa kupitia maamuzi yao mabovu.

Maamuzi ya hovyo hutokana na uwepo wa wanasiasa wa hovyo ambao wamekabidhiwa dhamana kupitia mifumo ya hovyo iliyotengenezwa na wanasiasa wa hovyo kwa maslahi yao binafsi.

Pinga uhovyohovyo kila mahala baadala yake kwa pamoja tupambane na uwepo wa wanasiasa smart na vyama smart vitakavyotengeneza mifumo smart itakayozalisha jamii smart.
 
Naunga mkono hoja. Je, tuna mbadala?

Kama hatuna, tusubiri hadi tukipata mbadala.
 
Hakuna muda wa kusubiri mbadala, ni muda wote kwa pamoja kuonyesha hasira zetu mitandaoni na kila mahala dhidi ya udhalimu na dhulma. Kila aliyepo kwenye uongozi afahamu sasa umma hautaki dhulma na hii dhulma ni dhambi kubwa.

Hasira zitawatoa watenda dhulma mmoja baada ya mwingine na wengine kuacha dhulma, tuanzie makanisani, misikitini na uraiani.
 
Ukijiona upo kwenye mfumo usiotenda haki tambua na wewe ni sehemu ya watenda dhulma, kama unaona hakuna haki kwenye mfumo unaoutumikia unapaswa kujiudhulu na kujiunga na wapinga dhulma.
 
Yote kwa yote CCM ndicho chama pekee chenye watu timamu wa kuingoza nchi hii. CCM hakijawahi kutoa kauli ya kuhamasisha fujo au uvunjifu wa amani lakini Mara nyingi nawasikia wapinzani hususani CHADEMA wakisema Bora damu imwagike

Nikija kwenye hoja yako juu ya Tozo na kuhamia burudi. Kwanza tukumbuke aliyetoa matamshi hayo sio kiongozi wa CCM hivyo kauli yake haihusiani na CCM na alitoa mtazamo wake kama raia na si Kama kiongozi wa CCM

Kwa Sababu gani? Waziri wa fedha hana mamlaka yoyote ya kumhamisha mtu kwenda nchi nyingine na hivyo kitendo cha kusema hivyo na kutoa maoni binafsi au mtazamo tu. Kama maneno hayo yangetamkwa na waziri wa Mambo ya ndani au Rais au kamishna wa uhamiaji hapo uzito ungekuwepo. Katiba ambayo inazungumzia haki ya kutoa maoni kwa nini iwe nongwa kwa waziri kutumia haki hiyo?

Pia, naona Burundi iliyotamkwa sio nchi ila ni mfano wa sehemu penye unafuu na Burundi hiyo iliyokuwa inazungumziwa kipindi hiko labda ni kuhama kutoka kufanya miamala kwa simu na kuhamia kufanya miamala kwa benki na njia nyingine. Nimewaza ki-PHD maana aliyesema hivyo ni daktari wa filosofia
 
Endelea Kupiga kazi na kujenga nchi, muda huu ni muda wa lunch baada ya kujenga nchi kuanzia saa Moja ,natumaini na wewe upo kwenye mishe za kutafuta pesa.Siasa haiwezi kukuletea chakula mezani unless umeajiriwa kwenye siasa.#achagubu #tafutahela.
Siasa ndo kila kitu.kama uelewi jielimishe.
 
Ndo hawa wanaozunguka wakifanya ushirikina kila mwaka kutumia Mwenge
Diuuuuh hii emu ielezee vizuri mkuu maana nasikiasikia tu ule mwenge ni ushirikina ushirikina emu fafanua watu wajinga wapo wengi humu wafunue bongo zao wafafanulie waelezee ushirikina gani huo unaofanyika kwa kupitia ule mwenge?

Au ndio kule kukataliwa miradi ndio ushirikina wenyewe huo?

Au wananchi tunalogwa tuendelee kua vibwengo mbele ya viongozi tuwe mazuzu?

Ushirikina wa mwenge unaousema wewe ni upi?

Kuwaloga wapinzani wasiongoze nchi milele?
 
Yote kwa yote CCM ndicho chama pekee chenye watu timamu wa kuingoza nchi hii. CCM hakijawahi kutoa kauli ya kuhamasisha fujo au uvunjifu wa amani lakini Mara nyingi nawasikia wapinzani hususani CHADEMA wakisema Bora damu imwagike

Nikija kwenye hoja yako juu ya Tozo na kuhamia burudi. Kwanza tukumbuke aliyetoa matamshi hayo sio kiongozi wa CCM hivyo kauli yake haihusiani na CCM na alitoa mtazamo wake kama raia na si Kama kiongozi wa CCM

Kwa Sababu gani? Waziri wa fedha hana mamlaka yoyote ya kumhamisha mtu kwenda nchi nyingine na hivyo kitendo cha kusema hivyo na kutoa maoni binafsi au mtazamo tu. Kama maneno hayo yangetamkwa na waziri wa Mambo ya ndani au Rais au kamishna wa uhamiaji hapo uzito ungekuwepo. Katiba ambayo inazungumzia haki ya kutoa maoni kwa nini iwe nongwa kwa waziri kutumia haki hiyo?

Pia, naona Burundi iliyotamkwa sio nchi ila ni mfano wa sehemu penye unafuu na Burundi hiyo iliyokuwa inazungumziwa kipindi hiko labda ni kuhama kutoka kufanya miamala kwa simu na kuhamia kufanya miamala kwa benki na njia nyingine. Nimewaza ki-PHD maana aliyesema hivyo ni daktari wa filosofia
Mkuu naomba uelezee na point ya mwenge umeiacha ameielezea hapo emu km unafahamu kuhusu mwenge toa mwanga tuelewe maana hizi tuhuma sasa zimezidi
 
Yote kwa yote CCM ndicho chama pekee chenye watu timamu wa kuingoza nchi hii. CCM hakijawahi kutoa kauli ya kuhamasisha fujo au uvunjifu wa amani lakini Mara nyingi nawasikia wapinzani hususani CHADEMA wakisema Bora damu imwagike

Nikija kwenye hoja yako juu ya Tozo na kuhamia burudi. Kwanza tukumbuke aliyetoa matamshi hayo sio kiongozi wa CCM hivyo kauli yake haihusiani na CCM na alitoa mtazamo wake kama raia na si Kama kiongozi wa CCM

Kwa Sababu gani? Waziri wa fedha hana mamlaka yoyote ya kumhamisha mtu kwenda nchi nyingine na hivyo kitendo cha kusema hivyo na kutoa maoni binafsi au mtazamo tu. Kama maneno hayo yangetamkwa na waziri wa Mambo ya ndani au Rais au kamishna wa uhamiaji hapo uzito ungekuwepo. Katiba ambayo inazungumzia haki ya kutoa maoni kwa nini iwe nongwa kwa waziri kutumia haki hiyo?

Pia, naona Burundi iliyotamkwa sio nchi ila ni mfano wa sehemu penye unafuu na Burundi hiyo iliyokuwa inazungumziwa kipindi hiko labda ni kuhama kutoka kufanya miamala kwa simu na kuhamia kufanya miamala kwa benki na njia nyingine. Nimewaza ki-PHD maana aliyesema hivyo ni daktari wa filosofia
Kwahiyo hao waliosema bora damu imwagike ni tamko la chadema kama chama au ni mawazo na mtazamo wa mtu.naona unatapata tu bila hoja.kamwe huwezi kuitenganisha ccm na yanayoendelea nchi hii kwasababu wao ndio wanaounda serikali ndo maana ata utetezi wako unajichanganya tu.
 
Yote kwa yote CCM ndicho chama pekee chenye watu timamu wa kuingoza nchi hii. CCM hakijawahi kutoa kauli ya kuhamasisha fujo au uvunjifu wa amani lakini Mara nyingi nawasikia wapinzani hususani CHADEMA wakisema Bora damu imwagike

Nikija kwenye hoja yako juu ya Tozo na kuhamia burudi. Kwanza tukumbuke aliyetoa matamshi hayo sio kiongozi wa CCM hivyo kauli yake haihusiani na CCM na alitoa mtazamo wake kama raia na si Kama kiongozi wa CCM

Kwa Sababu gani? Waziri wa fedha hana mamlaka yoyote ya kumhamisha mtu kwenda nchi nyingine na hivyo kitendo cha kusema hivyo na kutoa maoni binafsi au mtazamo tu. Kama maneno hayo yangetamkwa na waziri wa Mambo ya ndani au Rais au kamishna wa uhamiaji hapo uzito ungekuwepo. Katiba ambayo inazungumzia haki ya kutoa maoni kwa nini iwe nongwa kwa waziri kutumia haki hiyo?

Pia, naona Burundi iliyotamkwa sio nchi ila ni mfano wa sehemu penye unafuu na Burundi hiyo iliyokuwa inazungumziwa kipindi hiko labda ni kuhama kutoka kufanya miamala kwa simu na kuhamia kufanya miamala kwa benki na njia nyingine. Nimewaza ki-PHD maana aliyesema hivyo ni daktari wa filosofia
Mzee Kinana na Shaka watoa kauli kila siku wanawatolea viongozi wa Ccm ipi hii ambayo ni mwanachama au kuna ccm mbili kwa sasa
 
Yote kwa yote CCM ndicho chama pekee chenye watu timamu wa kuingoza nchi hii. CCM hakijawahi kutoa kauli ya kuhamasisha fujo au uvunjifu wa amani lakini Mara nyingi nawasikia wapinzani hususani CHADEMA wakisema Bora damu imwagike

Nikija kwenye hoja yako juu ya Tozo na kuhamia burudi. Kwanza tukumbuke aliyetoa matamshi hayo sio kiongozi wa CCM hivyo kauli yake haihusiani na CCM na alitoa mtazamo wake kama raia na si Kama kiongozi wa CCM

Kwa Sababu gani? Waziri wa fedha hana mamlaka yoyote ya kumhamisha mtu kwenda nchi nyingine na hivyo kitendo cha kusema hivyo na kutoa maoni binafsi au mtazamo tu. Kama maneno hayo yangetamkwa na waziri wa Mambo ya ndani au Rais au kamishna wa uhamiaji hapo uzito ungekuwepo. Katiba ambayo inazungumzia haki ya kutoa maoni kwa nini iwe nongwa kwa waziri kutumia haki hiyo?

Pia, naona Burundi iliyotamkwa sio nchi ila ni mfano wa sehemu penye unafuu na Burundi hiyo iliyokuwa inazungumziwa kipindi hiko labda ni kuhama kutoka kufanya miamala kwa simu na kuhamia kufanya miamala kwa benki na njia nyingine. Nimewaza ki-PHD maana aliyesema hivyo ni daktari wa filosofia

Nadhani huelewi kuwa wabunge wote wa ni wajumbe wa NEC ya CCM, kiuongozi ccm ikitoka CC inafata NEC kwa hiyo matamshi yake kama kiongozi wa ccm, na waziri ni tamshi la hovyo sana kama vipi ahamie,yeye huko burundi fala sana huyo jamaa.
Kongozi mwingine wa ccm sijui anaitwa Kinena sasahivi ni katibu mkuu uvccm aliopokuwa mwenyekiti huko Iringa alishatoa kauli za kiuchochezi.
Kheri james alipokuwa mwenyekiti wa uvccm alishatoa kauli za uchochezi baadae akajistukia baada ya mpwa wake jiwe kuuliwa akajaomba msamaa
Viongozi wengi wa ccmwanatoa kauli za kuhamasisha uvunjifu wa amani.
Huwezi kuwaambia watanzania eti ahamie Burundi jamaa mshenzi sana kama hawezi kuongoza aachie madaraka pumbavu zake
 
Back
Top Bottom