CCM ni Chama Cha Wasiosoma (CCW)? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

CCM ni Chama Cha Wasiosoma (CCW)?

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by niweze, Nov 8, 2010.

 1. n

  niweze JF-Expert Member

  #1
  Nov 8, 2010
  Joined: Oct 21, 2009
  Messages: 1,008
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Ukiangalia Demographic Strong Hold ya Vyama Vya Kisiasa Tanzania, Utaona CCM Imebaki Nyuma Sana na Kupitwa na Vyama Karibu Vyote. Jambo ni Kwamba Kuna Hawa Viongozi wa CCM Hawawajui Wananchi na Hawamake Efforts Kujirekebisha Hii Inatokana na Vichwa Vigumu na Ujeuri. Swala Ni Kwamba the Party Have to Change na Wanatakiwa Waangalie Vijana Ambao Wao Ndio High Population ya Nchi Mahitaji Yao Ya Sasa na Yanayokuja. Votes za CCM Zinatoka Vijijini na Wengi ni Less Informed na Less Educated. Ni Hatari Sana Kama Chama Kinachoongoza Inchi Kutegemea Very Small Group Katika Nchi. CCM Itaendelea Kustruggle for Long Time na Wasipoangalia Mwelekeo wa Nchi, Wataingiza Katika Udini na Ukabila na Jingine Kubwa ni Utajili wa Nchi Utabaki Upande wa CCM na Familia Zao na Wananchi Hawataona Umuhimu wa Kungoja Election Tena. Challenges Nyingi Tulizonazo ni Uongozi na Zinaweza Kufichua Matatizo Mengine Ambayo Yatatokana na Kuwa na Umaskini Mwingi. Sisi Tulioactive na Struggles za Nchi Yetu Let's Continue to Discuss Hizi Issues Ili Tusaidie Hata Vyama Vingine Viweze Kupata Platform Hasa Bungeni. If We Can't Change The Way The Government is Running, We Will Continue To Repeat Same Mistakes.
   
 2. F

  Fishyfish JF-Expert Member

  #2
  Nov 8, 2010
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 231
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  No, CCM stands for "Chama Cha Mafisadi". Get it right :)
   
 3. k

  khoty Member

  #3
  Nov 8, 2010
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 64
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kwa akili yako wewe hujitambui
   
 4. F

  Fishyfish JF-Expert Member

  #4
  Nov 8, 2010
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 231
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Chama Cha Mafisadi, Chama Cha Majambazi, take your pick.
   
 5. Johnsecond

  Johnsecond JF-Expert Member

  #5
  Nov 8, 2010
  Joined: May 4, 2010
  Messages: 1,077
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Votes za CCM zinatoka vijijini ambako elimu iko chini na watu hawako well informed as you said, lakini bado large group iko kule nd maana hata wanajitahidi kupata 44.56%. Hivyo their end is near.
   
 6. Henge

  Henge JF-Expert Member

  #6
  Nov 8, 2010
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 6,765
  Likes Received: 78
  Trophy Points: 145
  heee sasa wewe unadhani ni chama cha nini? wakulima na wafanyakazi!????
  Wakulima wepi??????
  Wafanyakazi wepi???
  hawa wasitaki kura zenu au wengine!?????
   
Loading...