Duble Chris
JF-Expert Member
- May 28, 2011
- 3,481
- 564
Mungu yupi kama hakika ni mkuu wa mashetani.Hii ni kauli aliyo itoa JP Magufuli jana huko Kigoma, Walianza kulumbana baada Mbunge wa CUF from Z'bar kusema CCM ni chama cha Mungu na kujiuliza, sijui ni Mungu huyu tunaye mwabudu wote au mwingine. Kama kawaida CCM waliomba mwongozo kisha ZITTO alitolea ufafanuzi.
MY ideas:-NDUGU zangu musikidharu hiki chama kimetumwa na Mungu kuondoa kero za WTZ kwa miaka zaidi ya 31 sasa vingine laana inawafuata, kama huuamini ona vile hawaoni, hawasikii, hawaambiliki, hawashauriki,hii ni kwa sababu CCM ni chama cha Mungu na haya wanayo ya yafanya ni agizo la Mungu eg ufisadi maana hauwezi kufanya lile ambalo wenye chama hataki na akakuacha salama" take care" !!!
CCM NI CHAMA CHA MUNGU ooooh !!
Usilitaje bure jina la Bwana Mungu wako, maana Mungu hatawahesabia kuwa hawana hatia, wote walitajao jina lake bure.
Kwa hiyo yawezekana aliyesema maneno haya alilenga kusema "CCM ni chama cha Miungu", mwandishi akaondoa "i" na kutenda dhambi niliyoitaja pale juu.
Hii ni kauli aliyo itoa JP Magufuli jana huko Kigoma, Walianza kulumbana baada Mbunge wa CUF from Z'bar kusema CCM ni chama cha Mungu na kujiuliza, sijui ni Mungu huyu tunaye mwabudu wote au mwingine. Kama kawaida CCM waliomba mwongozo kisha ZITTO alitolea ufafanuzi.
MY ideas:-NDUGU zangu musikidharu hiki chama kimetumwa na Mungu kuondoa kero za WTZ kwa miaka zaidi ya 31 sasa vingine laana inawafuata, kama huuamini ona vile hawaoni, hawasikii, hawaambiliki, hawashauriki,hii ni kwa sababu CCM ni chama cha Mungu na haya wanayo ya yafanya ni agizo la Mungu eg ufisadi maana hauwezi kufanya lile ambalo wenye chama hataki na akakuacha salama" take care" !!!
CCM NI CHAMA CHA MUNGU ooooh !!
=========Acha Propaganda zako! Kwa hiyo wewe ndo uliyemsikia Magufuli na kumweleza zaidi kuliko
waliokuwepo kwenye ziara ile? Hao magamba wameanza lini kumtambua Mungu?
Wangemjua wangeifisadi nchi hii? Shame on you!
=========
Umenionea bure kwa sababu hata mimi nina mawazo kama yako, ikiwa wenye mawazo kama yako hawalaaniwi.
Ebu soma tena bandiko langu ili uniondolee laana. Huko CCM hakuna Mungu, kuna miungu.
Hakika MUNGU WA UKWELI huwa hadhihakiwi na kama ulikuwa unamaanisha huyo huna budi kumuomba akusamehe kabla hujaenda jehanamu! Kama ulikuwa unamaanisha miungu huna budi kumrudia MUNGU WA UKWELI kabla hujaenda jehanamu piaHii ni kauli aliyo itoa JP Magufuli jana huko Kigoma, Walianza kulumbana baada Mbunge wa CUF from Z'bar kusema CCM ni chama cha Mungu na kujiuliza, sijui ni Mungu huyu tunaye mwabudu wote au mwingine. Kama kawaida CCM waliomba mwongozo kisha ZITTO alitolea ufafanuzi.MY ideas:-NDUGU zangu musikidharu hiki chama kimetumwa na Mungu kuondoa kero za WTZ kwa miaka zaidi ya 31 sasa vingine laana inawafuata, kama huuamini ona vile hawaoni, hawasikii, hawaambiliki, hawashauriki,hii ni kwa sababu CCM ni chama cha Mungu na haya wanayo ya yafanya ni agizo la Mungu eg ufisadi maana hauwezi kufanya lile ambalo wenye chama hataki na akakuacha salama" take care" !!! CCM NI CHAMA CHA MUNGU ooooh !!