CCM ni Adui wa Maendeleo ya Tanzania na Watanzania

Ndio maana nikataka ufafanuzi na facts zako labda tunasoma vitu tofauti na wewe unajua zaidi, mbona vitu basics sana na avina ujuvi hivyo.

Aim sio kujibu hapo aim ni kupata facts zako au comprehension hukupitia?
 
OK pengine kweli hela imeibiwa kwanini sasa inakuwa matatizo watu wanapo omba facts au ushahidi wa wizi ulipo inakuwa matatizo. Pengine wewe unafahamu zaidi wizi huko wapi?
 
Mtahaha sana na CCM.

Mmebwagwa hoja zenu zote, iliyobaki mnatapatapa.

Nimegundua wewe pamoja na wapiga porojo wenzio mnasaidia kuiweka uchi CCM kwa kuitetea kwa vioja dhaifu bila nyinyi wenyewe kujua.Kwasababu watanzania ivi sasa tunajua mengi mabaya ya serikali hii kongwe kwa sababu ya vyama imara vya upinzani.Kwa maana iyo nafurahi mnavyojitahidi kujifanya mnatetea Chama lakini mjue hoja zenu nyingi tunazipima na kuzichambua na tukizilinganisha na zinazotolewa na wapinzani wa kweli na wanaharakati,tunaona jinsi mlivyoharibu mpaka hamna cha kujitetea nakuombea uendelee kuwa ivyoivyo ili watanzania tuendelee kujua ukweli kwamba katika chama chenu wengi mmebaki masilahi na wale wachache wanaosema ukweli ktk chama chenu nao pia wamegeuka maadui.
 
Hii ni kweli kabisa. With CCM Tanzania haitaendelea kamwe kwani kila kiongozi anayekuja kichwa chake ni kile kile yaani kwamba hana mawazo ya maendeleo bali kuikandamiza nchi kwa kufanya ujambazi wa waziwazi.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…