Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 122,521
- 96,267
Uongozi wa CCM wilaya umejitahidi kukinusuru CCM kwa kujifanya kutoa mkopo wa boda boda 70 kwa waendesha boda boda ikiwa ni siku chache kuelekea uchaguzi mkuu october 2015.
Hata hivyo vijana hao waliokopeshwa Pikipiki hizo wamesikika wakisema hizo pikikpiki wanachukua na kura wanampigia lowasa na kura zao zinaenda kwa ubunge na udiwani UKAWA.
Hata hivyo vijana hao waliokopeshwa Pikipiki hizo wamesikika wakisema hizo pikikpiki wanachukua na kura wanampigia lowasa na kura zao zinaenda kwa ubunge na udiwani UKAWA.