CCM, neno 'HAKI' ni tusi kwenu?

CCM, neno 'HAKI' ni tusi kwenu?

Administer

JF-Expert Member
Joined
Feb 9, 2020
Posts
2,633
Reaction score
2,378
Sijawahi kumsikia mwanaCCM hata mmoja akitamka neno 'haki'. Wote mnaimba wimbo mmoja wa neno 'Amani' Leo nimeamua kuwauliza hili neno mtakapotamka mnadhani ni tusi au kunywa sumu? Nawauliza kwa nini hili neno mnaliogopa sana kulitamka kwa watanzania?
 
Ni sawa nakumsikia wakala yeyote yule wa Shetani akirudisha sifa ya jina la BWANA YESU KRISTO na kumdhihaki LUCIFER
 
Tunaomba kura yako tarehe 28 october iende kwa magufuli hakika ndoto zako zitatimia maana yeye ndie anaetufaa naomba sana kura yako umpe
2526615_1600781541524.png
 
Sijawahi kumsikia mwanaCCM hata mmoja akitamka neno 'haki'Wote mnaimba wimbo mmoja wa neno 'amani'Leo nimeamua kuwauliza hili neno mtakapotamka mnadhani ni tusi au kunywa sumu?Nawauliza kwa nini hili neno mnaliogopa sana kulitamka kwa watanzania?
Wakoloni weusi
 
Back
Top Bottom