Huna akili wewe.Hao wanyonge wameupataje huo unyonge?Miaka zaidi ya 60 wameshindwa na hawana uwezo huo wa kukomboa mtu.Leo hii umeshiba uji unaandika upuuzi.
Moderator, nawaomba sana kichwa cha habari kibakie hivyo hivyo CCM ni mkombozo wa wanyonge. Kwa kuwa kinaleta maana sahihi kabisa ya alichokiandika mtoa mada.
Huna akili wewe.Hao wanyonge wameupataje huo unyonge?Miaka zaidi ya 60 wameshindwa na hawana uwezo huo wa kukomboa mtu.Leo hii umeshiba uji unaandika upuuzi.
1. Punguza kuvuta bangi mbichi chooni.
2. Unapoleta mada ya uchawa Kama hii, andika namba ya Simu mwishoni ili urushiwe makombo na akina Abdul bin Samiah.