TAKRIBANI wanafunzi 700 katika Shule za Msingi Machimweru na Kinyambwiga A na B, zilizopo katika Halmashauri ya Wilaya ya Bunda mkoani Mara, wanasomea chini ya mti wakiwa wamekalia mawe na magogo, huku mbao za kufundishia zikiwa zimepigiliwa misumari kwenye miti, FikraPevu imebaini. Hali hiyo imeelezwa kuwa chanzo kikuu cha kudhoofisha hali ya taaluma katika wilaya hiyo kwa kiwango kikubwa. Taarifa zilizoifikia FikraPevu Agosti 31, 2014 zinaeleza kuwa licha ya wanafunzi hao kukaa chini wakati wa masomo pia shule hizo zina matundu machache ya choo, ikiwemo matundu manne ya shule ya msingi Machimweru yanayotumiwa na wanafunzi pamoja na Walimu 18 wa shule hiyo.
Haya mimi chizi wewe una akili timamu tuone itakusaidia nini tpaul !!! unabishana na ukweli mwisho wake ni aibu. Mimi ni Mtanzania mzalendo mwenye uchungu na nchi yangu. Kamwe siwezi kuongozwa na mawazo ya kijinga
kumbeHivi wakati TANU (Baba wa CCM) inapigania uhuru, CHADEMA ilikuwa wapi?
Jini likujualo halikuli likakuisha.
CCM ni yetu, na sisi ni wa CCM.
ccm ndio mama yenu amewazaa na kuwalea,ccm imewapa elimu bure mpaka sasa mmepata akili ya kuitukana humu jf
We msukule shika adabu yako m cjasomeshwa na ccm
bila chama cha mapinduzi shule ungeiona wapi wewe?
Leo mnaikana CCM haijafanya lolote kwa watanzania najua nafsi zenu zinawasuta ndio maana yule babu slaa ameitunza vizuri kadi yake ya CHAMA CHA MAPINDUZI anajua alipotokeaPole sana sana
Kama hii ?bila chama cha mapinduzi shule ungeiona wapi wewe?
Kama hii ?
Erythrocyte huna uzalendo mawazo yako ni kupinga kila kilichofanywa na chama tawala bila kuangalia maslahi ya taifa letu
Erythrocyte huna uzalendo mawazo yako ni kupinga kila kilichofanywa na chama tawala bila kuangalia maslahi ya taifa letu