CCM naipenda kutoka moyoni

Siku zote tatizo huwa sio Chama gani bali tatizo siku zote huwa ni watu wa namna gani wamekihodhi Chama ?!!
Na hii ni kwa vyama vyote !!
Zamani tuliaminishwa Uongozi ni wito na ndivyo ilivyokuwa ! Je imani hizo bado zipo ??!!
Imani hizo tunazo wachache sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…