M Mag3 Platinum Member Joined May 31, 2008 Posts 13,602 Reaction score 23,986 Apr 24, 2012 #1 Adui nambari wani wa Taifa.
Pendael laizer JF-Expert Member Joined Jan 14, 2012 Posts 958 Reaction score 105 Apr 24, 2012 #2 Hapo umenena aisee na ni itikadi ya chama chetu kuwa ukiingia inatakiwa uchote mapema kila upatapo mwanya kidogo inatakiwa utumie mwanya huo kuiba pesa na hakuna mtu atakayekufanya lolote manake sisi wote tulioko huku ccm ni waizi
Hapo umenena aisee na ni itikadi ya chama chetu kuwa ukiingia inatakiwa uchote mapema kila upatapo mwanya kidogo inatakiwa utumie mwanya huo kuiba pesa na hakuna mtu atakayekufanya lolote manake sisi wote tulioko huku ccm ni waizi
ummu kulthum JF-Expert Member Joined Feb 6, 2012 Posts 2,784 Reaction score 1,317 Apr 24, 2012 #3 wanasema wanajivua magamba wakati hata ukiyamwagia maji ya moto hayavuki