CCM na wanavyuo' | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

CCM na wanavyuo'

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by NDOFU, Jun 27, 2011.

 1. N

  NDOFU JF-Expert Member

  #1
  Jun 27, 2011
  Joined: Feb 23, 2009
  Messages: 656
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Hivi hawa wabunge wa ccm wanavyosimama bungeni na kuanza kusema vijana wa vyuo vikuu wasikubali kushawishiwa na Chadema kugoma! Je ni kweli wabunge wa ccm wanajua shida za wananchi wao kama wameshindwa kujua haya ya wanavyuo?! SABABU ZA WANACHUO KUGOM ZIPO WAZI ,UDOM' SHULE YA Informatix waligoma kwa sababu ya fedha ya facult requirements,Shule ya social science and Humanities, sababu ni pesa ya field, DUCE waligoma sababu bodi ya mikopo walikuwa hawajapeleka pesa yao ya ada chuoni, Udsm(Mlimani) sababu ni kutaka pesa ya chakula na malazi iongezwe(na serikali imekubali kuongeza) n.k .KUMBUKA WANAFUNZI HAWA WALIFANYA KILA LIWEZEKANALO KABLA HAWAJAGOMA, KWA WALE WA SOCIAL SCIENCE WALIONGEA MPAKA NA WAZIRI MKUU LAKINI HAKUNA KILICHOFANYIKA.Kwanin wabunge wa ccm hawayaoni haya mpaka wailaumu Chadema?!
   
 2. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #2
  Jun 27, 2011
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  Wanajua sana.......kwa kizaz cha sasa cha BUNGEN,hakuna mbunge asuyepita chuon......na ambaye hakugoma,ikiwa alipata shahada yake chuo kikuu cha umma,hasa udsm,sua,muhuimbili,
  ila leo wamesahau......nani asojua kadhia wazpatazo wanafunzi?????
   
 3. h

  hans79 JF-Expert Member

  #3
  Jun 27, 2011
  Joined: May 4, 2011
  Messages: 3,802
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 145
  banian mbaya kiatu chake dawa,yaelekea CDM wanajenga jamii namna ya kudai haki zao bila silaha.Hongeren kwa sana CDM endeleen kuelimisha jamii ndo ujenzi wa taifa.
   
 4. N

  NDOFU JF-Expert Member

  #4
  Jun 27, 2011
  Joined: Feb 23, 2009
  Messages: 656
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Kumbe tatizo nin mkuu? Au ndo wameacha kutetea wananchi wanatetea chama chao?!
   
 5. Angel Msoffe

  Angel Msoffe JF-Expert Member

  #5
  Jun 27, 2011
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 6,797
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  Ktk gazeti la mwananch la keo Kuna mkuu wa wilaya mmoja kasema tena bila aibu wala woga kuwa wanavyuo wa udom waliotimuliwa WASIRUDISHWE na wakirudishwa warudishwe wa CCM wale wa CHADEMA wasirudishwe mana hawana shukrani, hapa ndo sijaelewa vizuri KUMBE SIKU HIZI UKIDAI HAKI YAKO WEWE NI CHADEMA?? NA UKIDAIWA HAKI WE LAZIMA UWE CCM?? Baerezee baerewe bana ili nikae mkao kabsa kabsa meku
   
 6. I

  Ismaily JF-Expert Member

  #6
  Jun 27, 2011
  Joined: Jun 19, 2011
  Messages: 357
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ni bora ufe ukiwa umesimama ukipigania haki kuliko ufe ukiwa umekaa huku haki yako ikipotea,hawa wabunge wa CCM ni mbumbumbu sana,watoto wao wanasoma kwa raha wakipewa na pocket money za kutosha wakati watoto wa wakulima wakihangaika,hawajui hata nini wanfunzi wanachodai,Taichukia CCM mpaka naingia kaburini.
   
 7. G

  Gurtu JF-Expert Member

  #7
  Jun 27, 2011
  Joined: May 15, 2010
  Messages: 1,202
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Kuna mbunge alikuwa anachangia bungeni katika kikao cha jioni ya leo akisema wanasiasa wawaache watoto wasome. Amesahau kuwa chuo kikuu wanasoma watu wazima. Watu wazima hawawezi kulelewa kama watoto wadogo. Hawataacha kushiriki siasa wakiwa chuo kikuu kwasababu wao ni watu wazima wenye kujuas wanachofanya.
   
 8. N

  NDOFU JF-Expert Member

  #8
  Jun 27, 2011
  Joined: Feb 23, 2009
  Messages: 656
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Kwa jinsi ccm inavyolishughulikia hili swala inaonesha waziwazi kwamba bongo zao zina kutu maana sasa hv ukidai haki yao tu unakuwa chadema!
   
 9. Piere. Fm

  Piere. Fm JF-Expert Member

  #9
  Jun 27, 2011
  Joined: Mar 10, 2011
  Messages: 2,194
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 145
  watu wa Ccm pamoja na serikal wana matatizo ya kiakili kwasabab huwez kusema swala la wanafunzi wa udom wale wa sayansi ya jamii kudai kwenda mafuozo kwa vitendo ni shinikizo kutoka chadema kwan ni chadema ndo hawana hyo field? Halaf wakae wakijua kuwa wanachuo ni watu wazima na si watoto ambao unaweza kuwashawsh au kuwarubun kirahis.
   
 10. mashikolomageni

  mashikolomageni JF-Expert Member

  #10
  Jun 27, 2011
  Joined: Jan 5, 2010
  Messages: 1,565
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Mie nashangaa aina ya wabunge wa CCM kwani wamekuwa sehemu ya Executive, badala ya kuwa Legislature. Kila jambo linalosemwa na serikali wao wanalibebea bango hadi wamepoteza maana ya Ubunge na BUNGE kama muhimili unaojitegemea. Hili la vyuo vikuu na migomo kalizungumziaMhe. Suzan bungeni vizuri kuwa migomo Chuo kikuu ilianza 1965, 1966 na kuendelea hadi leo. wakati inaanza CDM hawakuwepo, ameshauri serikali kutatua matatizo ya wanavyuo na sikupiga kelele na kusingizia upinzani hususan CDM.
   
 11. 2

  2simamesote Senior Member

  #11
  Jun 27, 2011
  Joined: Jun 27, 2011
  Messages: 109
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  hawa wajamaaa wanaleta usanii,ngoja niwape kisachenyewe mpk waka2fukuza,alikuja kawambwa na vuai 2kaona niwakombozi ilikua 18/12/2010,pinda akaja 05/01/2011,wote walisema vijana mtaenda field serikali haishindwi jambo,ilipofika 10/06/2011 likabandikwa tangazo et TCU ni chombo huru so hawawezi kufanya kazi kwa maamuzi ya waziri wakasema hakuna field,uongozi wa chuo ukasema nendeni bungeni kumbe kesho yake mama clinton alikua anakuja dodoma nawalitaka kumleta udom,usiku wa saa sita usiku Kikula(VC) akaja eti msiandamane ila gome huku ndani,leo kny gazeti la mwananchi anasema 2litengeneza mabomu ya petroli,aseme yali2mika wap? eti huyu ni prof? kuna mkuu wa wilaya amenukuliwa akisema eti CCM warudishwe kwanza CDM wacrudishwe sasa kati ya CCM na CDM nani analeta siasa?
   
 12. N

  NDOFU JF-Expert Member

  #12
  Jun 27, 2011
  Joined: Feb 23, 2009
  Messages: 656
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Aisey' poleni sana mkuu,kumbe Clinton anamkono wake katika kupigwa kwenu mabomu,huyo mkuu wa wilaya ndo wenye akili mgando' ccm eti warudishwe!cdm watoswe-nyambafuu!
   
 13. MwanaCBE

  MwanaCBE JF-Expert Member

  #13
  Jun 28, 2011
  Joined: Sep 23, 2009
  Messages: 1,773
  Likes Received: 544
  Trophy Points: 280
  Hili swala la wana wa CHADEMA kufukuzwa vyuoni siku hizi limekuwa la kawaida sana tena kwa vyuo vingi tu, ni vile habari zao huwa haziwekwi hadharani. Kuwa CHADEMA nchi hii unaonekana kama mhaini hivi kwa hawa magamba, inatia hasira sana. Washenzi sana hawa majibwa.
   
Loading...