DASA
JF-Expert Member
- Jan 6, 2011
- 1,031
- 302
Kama kuna group la watu ambalo litaiangamiza CCM mwaka huu, basi ni walimu. Huko vyuoni ndio balaa si walimu si wanafunzi yaani ukikuta watu wamekaa ukaanza kuongea CCM watu watatapika maneno utadhani sijui umewaambia nini, huko chini napo mpaka primary wengi wana vinyongo balaa. Sijui CCM imewakosea nini!!, CCM ikipita salama mwaka huu basi itadumu milele.