Mkuu, kweli uliamua kuchagua ID ya Jingalao ukukosea..
ID yako inafanana na michango yako..
Na wewe umeliona hili.......au leo hujapewa malipo na NapeMkuu, kweli uliamua kuchagua ID ya Jingalao ukukosea..
ID yako inafanana na michango yako..
Jina lako limenifanya nishindwe kukujudge kwa kina! Ila sitakuwa nimetenda vema kama sitakufahamisha kuwa CCM ilikuwa na wakulima enzi za Nyerere lakini sasa iko na Wafanyabiashara na Wawekezaji kama hujui hilo basi hujasoma nyakati.
When the English said Do not argue with a fool or else people mighty not notice the difference, were very correct.
Jina tuu linatosha achilia mbali pumba alizotoa. Kwanza CCM hawako pamoja na wakulima wao wamekumbatia mafisadi.
Na wewe umeliona hili.......au leo hujapewa malipo na Nape