toughlendon_1
JF-Expert Member
- Feb 7, 2018
- 6,965
- 12,556
Ni kweli kwamba wagombea na viongozi wa vyama huwa hawana elimu juu kanuni, sheria na taratibu za uchaguzi hadi waboronge taratibu za kuchukua na kuwasilisha fomu za kugombea? Kama kuna wagombea feki na fomu feki, basi ina maana kwamba wapinzani hawako makini na kwa maana hiyo, hakuna wapinzani!Mimi sio mtu wa politics sana ila imefika kipindi ili CCM ishinde lazima fomu ya mpinzani iwe feki au ina mhuri feki au imesainiwa na mtu asie Mhusika, sasa Tujiulize swali la msingi, KWELI MTU ANATAKA KUGOMBEA NA ANAJUA ATAGOMBEA MIEZI MINGI SANA KABLA YA UVHAGUZI ATACHUKUA FOMU FEKI KWELI ? Alafu kwasababu wanasema kuna democrasia na wanaifuata KWANINI TUSIMTAFUTE ALOTOA FOMU FEKI NA ALOPIGA SAHIHI FEKI TUPAMBANE NAE MANAKE NDIO ANAEHARIBU ? narudia tena ILI CCM Ishinde LAZIMA MPINZANI AWE FEKI kwa namna yeyote ILE....
Ni kweli kwamba wagombea na viongozi wa vyama huwa hawana elimu juu kanuni, sheria na taratibu za uchaguzi hadi waboronge taratibu za kuchukua na kuwasilisha fomu za kugombea? Kama kuna wagombea feki na fomu feki, basi ina maana kwamba wapinzani hawako makini na kwa maana hiyo, hakuna wapinzani!
Wagombea ndiyo feki.Mimi sio mtu wa politics sana ila imefika kipindi ili CCM ishinde lazima fomu ya mpinzani iwe feki au ina mhuri feki au imesainiwa na mtu asie Mhusika, sasa Tujiulize swali la msingi, KWELI MTU ANATAKA KUGOMBEA NA ANAJUA ATAGOMBEA MIEZI MINGI SANA KABLA YA UVHAGUZI ATACHUKUA FOMU FEKI KWELI ?
Alafu kwasababu wanasema kuna democrasia na wanaifuata KWANINI TUSIMTAFUTE ALOTOA FOMU FEKI NA ALOPIGA SAHIHI FEKI TUPAMBANE NAE MANAKE NDIO ANAEHARIBU ? narudia tena ILI CCM Ishinde LAZIMA MPINZANI AWE FEKI kwa namna yeyote ILE....
Uko sahihi....Mimi sio mtu wa politics sana ila imefika kipindi ili CCM ishinde lazima fomu ya mpinzani iwe feki au ina mhuri feki au imesainiwa na mtu asie Mhusika, sasa Tujiulize swali la msingi, KWELI MTU ANATAKA KUGOMBEA NA ANAJUA ATAGOMBEA MIEZI MINGI SANA KABLA YA UVHAGUZI ATACHUKUA FOMU FEKI KWELI ?
Alafu kwasababu wanasema kuna democrasia na wanaifuata KWANINI TUSIMTAFUTE ALOTOA FOMU FEKI NA ALOPIGA SAHIHI FEKI TUPAMBANE NAE MANAKE NDIO ANAEHARIBU ? narudia tena ILI CCM Ishinde LAZIMA MPINZANI AWE FEKI kwa namna yeyote ILE....
Mimi ni mwana CCM ila kuna mambo kidogo hayahiyaji kuwa na elimu ya chuo kikuu kuyan'gamua ok sawa wapinzani wamekosea kujaza fomu! Inamaana hawa wa kwetu hawakosei kujaza fomu hata siku moja? Sijui ila kwa mtazamo wangu hili halijakaa vema,tukumbuke wa TZ sio wakuwachukulia poa kiasi hicho! Kama nimekosea naomba kurekebishwa kwa hojaMimi sio mtu wa politics sana ila imefika kipindi ili CCM ishinde lazima fomu ya mpinzani iwe feki au ina mhuri feki au imesainiwa na mtu asie Mhusika, sasa Tujiulize swali la msingi, KWELI MTU ANATAKA KUGOMBEA NA ANAJUA ATAGOMBEA MIEZI MINGI SANA KABLA YA UVHAGUZI ATACHUKUA FOMU FEKI KWELI ?
Alafu kwasababu wanasema kuna democrasia na wanaifuata KWANINI TUSIMTAFUTE ALOTOA FOMU FEKI NA ALOPIGA SAHIHI FEKI TUPAMBANE NAE MANAKE NDIO ANAEHARIBU ? narudia tena ILI CCM Ishinde LAZIMA MPINZANI AWE FEKI kwa namna yeyote ILE....
Mimi ni mwana CCM ila kuna mambo kidogo hayahiyaji kuwa na elimu ya chuo kikuu kuyan'gamua ok sawa wapinzani wamekosea kujaza fomu! Inamaana hawa wa kwetu hawakosei kujaza fomu hata siku moja? Sijui ila kwa mtazamo wangu hili halijakaa vema,tukumbuke wa TZ sio wakuwachukulia poa kiasi hicho! Kama nimekosea naomba kurekebishwa kwa hoja
CCM HAINA HISTORIA YA KUSHINDA....HIVI KARIBUNI IMEJIZOLEA UMAARUFU KWA UKWAPUAJI WA USHINDI WA WENGINE.!!
Wagombea ndiyo feki.
Wanakuwa ni mamluki, wanafekisha mambo kwa makusudi ili walalamike baadaye ili kuonekana kama wametendewa ndivyo sivyo, kumbe sivyo. Njaa ni kitu kibaya sana.
Amini usiamini, unajidanganya. Hauwajui CCM au unazuga tu.Ni kweli kwamba wagombea na viongozi wa vyama huwa hawana elimu juu kanuni, sheria na taratibu za uchaguzi hadi waboronge taratibu za kuchukua na kuwasilisha fomu za kugombea? Kama kuna wagombea feki na fomu feki, basi ina maana kwamba wapinzani hawako makini na kwa maana hiyo, hakuna wapinzani!
Wewe mwenye kuwajua, chukua hatua!Amini usiamini, unajidanganya. Hauwajui CCM au unazuga tu.
Bila figisu au dola,hawatoboi
Kwaiyo tupeleke Sheria bungeni kufuta mfumo wa vyama vingi maana hatuna wapinzani kwa mujibu wa maelezo yako...maana Ni ufujaji wa pesa, kwani Ni kazi ya Nani kufundisha kanuni taratibu na Sheria kwa wapinzani!!!?Ni kweli kwamba wagombea na viongozi wa vyama huwa hawana elimu juu kanuni, sheria na taratibu za uchaguzi hadi waboronge taratibu za kuchukua na kuwasilisha fomu za kugombea? Kama kuna wagombea feki na fomu feki, basi ina maana kwamba wapinzani hawako makini na kwa maana hiyo, hakuna wapinzani!
Ukifutwa hali itakuwa mbaya zaidi akitokea dikteta.Kwaiyo tupeleke Sheria bungeni kufuta mfumo wa vyama vingi maana hatuna wapinzani kwa mujibu wa maelezo yako...maana Ni ufujaji wa pesa, kwani Ni kazi ya Nani kufundisha kanuni taratibu na Sheria kwa wapinzani!!!?
Nilimuuliza kwa kumtega....we na upinzani wote huu uliopo Hali Ni ngumu hivi je kungekuwa na utawala wa chama kimoja ingekuwaje!!?Ukifutwa hali itakuwa mbaya zaidi akitokea dikteta.
Ni kweli kwamba wagombea na viongozi wa vyama huwa hawana elimu juu kanuni, sheria na taratibu za uchaguzi hadi waboronge taratibu za kuchukua na kuwasilisha fomu za kugombea? Kama kuna wagombea feki na fomu feki, basi ina maana kwamba wapinzani hawako makini na kwa maana hiyo, hakuna wapinzani!
Mtakavyoona inafaa. Kama hamko tayari kujifunza (sio kufundishwa) basi mtajiju! Hata hivyo hamna haja ya kufuta sheria ya vyama vingi kwani sio lazima washike hatamu leo au kesho. Iendelee kuwepo kuwasubiri wajikongoje!Kwaiyo tupeleke Sheria bungeni kufuta mfumo wa vyama vingi maana hatuna wapinzani kwa mujibu wa maelezo yako...maana Ni ufujaji wa pesa, kwani Ni kazi ya Nani kufundisha kanuni taratibu na Sheria kwa wapinzani!!!?
Hapana, ubongo wangu umefikia hapo! Hata hivyo, waambie wajipange! Bado wanao muda japo siyo lazima iwe leo au kesho!KIONGOZI ULISHAWAH KUJIULIZA KWANINI INATOKEA UPANDE MMOJA TU ? ebu shirikisha ubongo...