CCM na u-Vuvuzela

Homer

Member
May 26, 2011
99
22
Hivi kamati kuu ya CCM ina matatizo gani? Sera na katiba wanazo (yote madesa la Mwalimu Nyerere). Wanashindwaje kuweka watu wanaojua kujenga hoja badala yake wanaweka 'vuvuzela' kama Nape anazuka kila mahali az if amepewa urais wa nchi? Babu Makamba si katimuliwa kwa yale yale ya kushabikia chama ki-vuvuzela badala ya kujibu kwa hoja za msingi?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom