CCM na Tume ya uchaguzi hapa mlifikiria nini?

CCM na Tume ya uchaguzi hapa mlifikiria nini?

The Businessman

JF-Expert Member
Joined
Jan 9, 2014
Posts
7,397
Reaction score
9,264
Hii picha nimeitazama mara mbili

Mbili kwamba waliobandika haya

Majina walikuwa wanawaza nini?

Je watu wenye ulemavu wangeweza kufika huko? 1425794559229.jpg
 
Sheria ilikua inawabana ila wao hawakupenda tuliwalazimisha na uchaguzi huu hawapend hata kuuckia ila itawabidi
 
majina yaliyo juu ni ya watu wanaokisiwa kuwa wa UKAWA kwa hiyo walitaka washindwe kuyaona majina yao ili wasipige kura. Nawashauri ukawa wanunue ngazi mapema ili zije kusaidia kwenye vituo kama hivi. Ila CCM hawakufikiri vizuri kuhusu hili kwa kuwa wafuasi wao walio wengi ndio wazee na wanawake ambao hawawezi kupanda juu.
 
Back
Top Bottom