mtihani unatunga mwenyewe!, una jisimamia mwenyewe then unajimarkia mwenyewe afu baada ya hapo uanajitanabaisha et unaakili na unaweza!!Wape wape za uso!
Hamkosagi la kusemamtihani unatunga mwenyewe!, una jisimamia mwenyewe then unajimarkia mwenyewe afu baada ya hapo uanajitanabaisha et unaakili na unaweza!!
Shame on ma CCM!
Wakati wenzao wapo kwenye foleni wao wapo busy na keyboard kwenye viofisi vyao,siju hawa waheshimiwa hata kama wana kazi za kufanya kutwa wapo kwenye mitandao !hawa bavicha sera zao ni kukariri tuuu kutwa kushinda kwenye mitandao ya jamii kulalamika na wakikutana huku wanajiaminisha kwamba wapo wengi na siku za kupiga kura hawaonekani. mtaisoma namba bavichaaaaa
Kushangilia ushindi wa CCM ni sawa na kupiga punyeto
Kuna mbunge mmoja wa upinzani alisema anayemuunga mkono Lowassa akapimwe akili mara moja. Nafikiri ipo haja ya kuwapima hawa wapinzani akili na Huyu ndiye anayewamaliza
kama nyie msivyokosa la kuiba!!??Hamkosagi la kusema