D DUNIANGUMU JR Member Apr 20, 2011 43 14 Apr 26, 2011 #1 Kitendo cha CCM kumtoa Yusuf makamba na kumuweka january makamba tena kwa kumrundikia mavyeo kunatia shaka ndani ya CCM na taifa pia, kuna siri gani kati ya kikwete na Makamba's. hii sawa na kukata mti na kupanda mti?
Kitendo cha CCM kumtoa Yusuf makamba na kumuweka january makamba tena kwa kumrundikia mavyeo kunatia shaka ndani ya CCM na taifa pia, kuna siri gani kati ya kikwete na Makamba's. hii sawa na kukata mti na kupanda mti?