CCM na sera za jumla jumla au sera za sura | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

CCM na sera za jumla jumla au sera za sura

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by kipipili, Sep 7, 2010.

 1. kipipili

  kipipili JF-Expert Member

  #1
  Sep 7, 2010
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 1,499
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  kwa nini sera za ccm zimekuwa za jumla jumla mno, mfano
  -tutaimarisha usafiri wa nchi kavu, majini na angani
  -tutashughulikia suala la kadhi
  -tutaboresha sekta ya kilimo na mifugo
  -tutaimarisha elimu ya msingi, sekondari na vyuo vikuu,
  mtakuwa mashahidi baada ya kubanwa huja na majibu mepesi ndiyo maana wanadai kuwa ilani ya uchaguzi ya 2005-2010 imetekelezwa kwa asilimia zaidi ya 90.
  mfano kwenye UDOM Zitto aliwaomba wabunge wa CCM wqaoneshe kwenye ilani yao ilip[osemwa kuwa watajenga UDOM wakachemsha, jibu ilani inasema tutaimarisha elimu na UDOM ni utekelezaji wa ilani hiyo,
  Suala la kadhi walipobanwa wakasema waislamu waendelee nao wenyewe, eti ndiyo wameshughulikia hivo, sasa kulikuwa na haja gani ya kuiweka kwenye ilani. ujanja ujanja tu.
   
Loading...