pocha2
JF-Expert Member
- Sep 23, 2014
- 890
- 396
Mwaka 2005 walikataa mdahalo wa wagombea, Mwaka 2010 pia walikataa mdahalo tena kwenye nafasi zote mbili Ubunge na Urais, na mwaka huu kwenye Harakati za kumtafuta mgombea urais kwa ticket yao wenyewe (ccm) wameadhibu watia nia wote walioonesha dalili ya kutaka mdahalo kwamba walikuwa wanafanya kampeni mapema. Maswali yangu ni haya :
1. Kama mdahalo ni muhimu ni kwanini hawakuendesha mdahalo huo ndani ya chama?
2. Kama midahalo ni muhimu kwanini walikataa kushiriki midahalo hiyo miaka ya nyuma kwa ubunge na urais??
3. Ni kwanini tusurudishe kila kipindi cha Shabani Kissu cha midahalo ya wagombea ubunge TBC? https://www.jamiiforums.com/showthread.php?t=72998
4. Langu la mwisho, mwaka huu kuna nini???