CCM na Reli ya kati.

Saint Ivuga

JF-Expert Member
Joined
Aug 21, 2008
Posts
55,024
Reaction score
59,685
tokea kipindi cha mkoloni hadi leo tunatumia mabehewa yale yale yaliyoletwa na mkoloni, ofisi za pale stesheni dsm zipo hoi. na wasafiri hawasafiri bure wanalipa nauli ., pesa mnazipeleka wapi nyi ccm? acheni wizi eti sasa hivi mnasafiri la treni ili muuze magazeti headlines ..badala ya kuziimarisha mnauza sura .. shame
 
Yani chuo cha Sanaa Bagamoyo na huko Kaole wawatunuku hawa watu PhD, full usanii....!
 
2015 inakaribia tutaona mengi toka CCM. Wanajihalalisha kuwa wako karibu na walalahoi! Rubbish

Maigizo ya namna hiyo hayana nafasi kwa watanzania wa leo. Kama hawajishtukii itakula kwao mazima
 
mmmxxxiiiiuuuuuu.....anapungia nyasi?......tumewachoka....na hizo jezi ndo kinyaa kabisa
 
he he he hii picha imenichekesha, sa ndo ana maana gani!!!!!!
 
Wanadhani CDM wataiga kwa wao walivyowaiga ya chopa.
 
hata hawajiulizi Mkoloni aliacha kilometa ngapi za reli zikiwa zinafanya kazi,leo eti inayofanya kazi ni ubungo posta tuu!!!zingine wameua halafu wanaleta usanii
 
huyo kaniudhi, kanikera eti, anafurahia nn sasa hapo, au anataka apigiwe makofi
 
Piga chini hawa magamba, mjue wanatuisanifu sana na kutuona sie majuha, kutuibia koote mpaka leo hatuwachoma moto tuu!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…