Zak Malang
JF-Expert Member
- Dec 30, 2008
- 5,404
- 234
TANU kilikua ni chama ambacho kiliunganisha watanganyika wote. hakikujali dini wala kabila. sasa hawa wakristu wa kaskazini kuwalinganisha na tanu umekosea kabisa.. wewe unadhani nyerere aliweke watu wa kwao kwenye vyeo vya Tanu. chadema wachaga wengi sanaaKILA SIKU NASEMA CCM NI SKIO LA KUFA, HATA MSEKWA KALIONA ILO BAADA YA KUUNGAMA THROUGH RAI la leo kuwa KWA SASA CHADEMA INA NGUVU KAMA ILIYOKUWA NAYO TANU 1954,
MAANAYAKE CHADEMA KWA SASA NI KAMA TANU NA CCM NI CHAMA CHA WAKOLONI, JAMANI HATA WANA CCM HII INAWAHUSU BADILIKENI SAA NA DAKIKA ZINAYOYOMA, M4C SI MASIALA
TANU kilikua ni chama ambacho kiliunganisha watanganyika wote. hakikujali dini wala kabila. sasa hawa wakristu wa kaskazini kuwalinganisha na tanu umekosea kabisa.. wewe unadhani nyerere aliweke watu wa kwao kwenye vyeo vya Tanu. chadema wachaga wengi sanaa

Jk na ccm yake wako njiani kuelekea kuzimu..

kama kukosea aliekosea ni msekwa ambaye ni ccm mwenzenu
Jk na ccm yake wako njiani kuelekea kuzimu..
Kikwete hana cha kupoteza yeye muda wake umeisha tamaa ya madaraka aliyokuwa nayo km ambavyo anayo zitto sasa imekamili......hajali chochote ndio maana huwa hata hafikirii anachekacheka tu
katiba inazuia kuweka viongozi wa chama ama kabila flani kwa wingi? Isitoshe umaarufu hauangaliwi kwa vigezo kama unavyotaka kujidanganya navyo ili kujifariji cdm hawajafikia hicho kiwango tafsiri yake halisi utaipata 2015