Chikumba one
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 1,009
- 1,642
Ndani ya CCM uwezo wa kufikiri umefikia kikomo! Nawashauri wale wakubwa wa chama waliobuni wazo la kuja na propoganda ktka mitandao ya kijamii kama njia ya kutafuta umaarufu wa chama na kudhoofisha upinzani, wakae chini na kubadili mbinu hii! IMESHINDWA VIBAYA!
Kuna makosa mawili yamefanyika wakati wa kutekeleza mkakati huu! Kosa la kwanza na la wazi kabisa ni kuwapa jukumu hili watu wasio na uwezo kabisa! Kujua kutumia computer na kuwa uwezo wa ku access kwenye social media haitoshi kumpa mtu jukumu hili!
Inahitajika watu wenye akili timamu, wenye uelewa mpana wa masuala ya siasa na jamii kwa pamoja! Wenye kujua ni wakati gani wa kusema nini na upi si wakati wa kusema hili.
Sio hawa wanaoshinda kila wakati wakipost issues ambazo hazidumu hata kwa masaa 48, kisha wanajipongeza kuwa wanaudhoofisha upinzani na hasa CHADEMA huku wakidai wanakijenga chama!
Kosa la pili ni aina ya watu walioibua mkakati huu, na hapa ndipo kwenye tatizo kuu! Niliwahi kuhoji hapa jukwaani aina ya viongozi ilionao CCM kwa sasa, moods kwa maslahi wanayoyajua wao waliufuta uzi ule! Kwa kufanya vile walisaidia kukuza tatizo la CCM! Nitalijadili wakati ukifika!