Hivi CDM mmeshajiuliza hatima yenu?Maana ushindi wa Mugabe ulikuwa unatosha kabisa kuwapa somo.Wenzenu wapo busy kushughulikia miradi ya maendeleo,nyie hamjawaza hata kufanya upanuzi wa Chama.Ni bora mngemsikiliza Mzee Mtei,kuliko kujiaminisha na ndoto za alinacha.KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI,KAMA NAMUONA CAPTAIN KOMBA NA QUEEN WA MWANANYAMALA 2015 ,HAKIKA MTAPATA LIWAZO KUTOKA TOT,NYAMBAF!