wabunge wa vyama vya upinzani wametoka nje ya bunge, wabunge wanaobaki (mara nyingi huwa wa CCM) huacha kujadili hoja iliyopo mezani na kujikita kuwajadili wabunge waliotoka nje mathalani hutokea around 70% ya muda huwajadili wabunge walio-walk out. Ku-walk out si kitendo kigeni kwa sasa duniani kote hususan kwenye mabunge yenye muelekeo wa kikandamizaji na si kosa kikanuni na siwalaumu wabunge wanaotoka nje bali nawalaumu hao waliobaki wanapopoteza muda. nauita huu ni double victory kwa wabunge waliotoka
Akili ndogo kuongoza akili kubwa.....Hawana cha kujadili zaidi ya hicho cha kuwajadili Wabunge walio mlengo tofauti na wao....Ulitegemea usikie nini kutoka kwa MP Nkamia?
Hiyo ni sehemu ya mjadala mkuu,acha ushabiki wa kijinga, watu wanachezea kodi zetu tunaona hivihivi wamefanya kama mchezo sasa.
Na wewe ni GT?Hiyo ni sehemu ya mjadala mkuu,acha ushabiki wa kijinga, watu wanachezea kodi zetu tunaona hivihivi wamefanya kama mchezo sasa.
Umeolewa?wamekwenda kufunga ndoa ya mkeka huko nje ili wakirudi watararuana na luga ya uliberali
Ulitaka waende kujadili nini?Hao waliotoka nje wao wamekwenda kujadili nini huko na kuacha hoja ndani?
Umeolewa?
Hiyo ni sehemu ya mjadala mkuu,acha ushabiki wa kijinga, watu wanachezea kodi zetu tunaona hivihivi wamefanya kama mchezo sasa.
nimejaribu kuelewa unachotaka kutuambi alakini nimeshindwa inabidi nitafute mwalimu wa lugha zisizoeleweka anisaidie kupata gist ya huu uzi, otherwise jukwaa la utani ndio mahali pake sahihi
nimejaribu kuelewa
unachotaka kutuambi alakini nimeshindwa inabidi nitafute mwalimu wa
lugha zisizoeleweka anisaidie kupata gist ya huu uzi, otherwise jukwaa
la utani ndio mahali pake sahihi