jonaleemanson
Member
- Sep 21, 2010
- 73
- 70
Tunawaangalia na kuwafuatilia bungeni.Endeleeni na kupitisha sheria za kipuuzi Kama hii ya Cyber crime. Mnaambiwa vitu vya maana lakini kwakuwa mko wengi bungeni na wengi wenu Hanna uwezo kabisa isipokua kubwatuka "Ndiyoooooooo" bila hata yakujaribu kufikilisha vichwa vyenu mpime maoni ya wenzenu hata Kama ni wapinzani. Tumejua kwamba uwingi wenu bungeni unatusababishia hasara kubwa Sana kupitisha sheria mbovu sasa hasira zetu ni October 2015 dawa yenu inachemka. Hii nawalenga wabunge wote wa CCM. Namwenye hoja na aseme.