Niko naangalia bunge hapa startv tangia asubuhi wabunge wa ccm wanafanya kukataa kila hoja ya CDM,yaani utadhani yanayoongewa na Chadema wao hayawahusu,mm nadhani kuna haja ya kutumia njia nyingine kuliko hii ya sahvi ya kusema Ndiyo ama Siyo..(ccm are best fools) lakini uzuri huku majimboni tunawangoja wafanye ujinga wao hatutaacha kuwachapa bakora za miaka5, ...kilichowanyima kura 2010 siyo ufisadi tu,hata hizi SIYO/NDIYO kwa ushabiki zitawamaliza ..yaani nyie hata hamjui tatizo lenu nn maskini,labda sheikh Yahya awasaidie