CCM na mapenzi ya ghafla kwa Dr. Slaa

CCM na mapenzi ya ghafla kwa Dr. Slaa

MORE2015

Senior Member
Joined
Jul 31, 2015
Posts
179
Reaction score
67
Ebu tujiulize ccm iliyo kuwa ikimtuhumu Dr Slaa kuwa anapotosha umma pale alipo zungumza swala la Richmond na maswala mengine ya ufisadi ikiwemo meremeta, escrow, n.k na kudai kuwa ana ushahidi.

Aliye kuwa katibu mkuu wa serekali Philemon luhanjo alisema kuwa Dr slaa ni mpotoshaji na ushihidi alio nao niwakugushi. Sasa leo Dr slaa kaja kwenye media akirudia Yale Yale aliyo wahi kuzungumza na ushahidi ulele ambo sasa umegeuka kuwa wa kweli gafla.

Sasa mi napata mkangajiko hapa maana YAKE ni nn??

Wote mtakumbuka kuwa hela za escrow serekali ilidai kuwa sio za umma. Alakini endopo watuhumiwa watahama na kujs upinzani sitoshangaa ccm wakasema hela za escrow zilizo tilewa BOT zilikuwa za umma
 
Hiyo ndio siasa kama ulikuwa hujui.ALIYESOMEA SIASA TU NDIYE ANAYEWEZA KUUCHEZA NA KUUELEWA MCHEZO HUU.Kwenye siasa hakuna rafiki wa kudumu wala adui wa kudumu.Inategemea mazingira tu.The statement "siasa ni mchezo mchafu is very appropriate."
Ebu tujiulize ccm iliyo kuwa ikimtuhumu Dr slaaa kuwa anapotosha umma pale alipo zungumza swala la Richmond na maswala mengine ya ufisadi ikiwemo meremeta, escrow, n.k na kudai kuwa ana ushaidi. Aliye kuwa katibu mkuu wa serekali Philemon luhanjo alisema kuwa Dr slaa ni mpotoshaji na ushihidi alio nao niwakugushi. Sasa leo Dr slaa kaja kwenye media akirudia Yale Yale aliyo wahi kuzungumza na ushahidi ulele ambo sasa umegeuka kuwa wa kweli gafla. Sasa mi napata mkangajiko hapa.
Maana YAKE ni nn??
Wote mtakumbuka kuwa hela za escrow serekali ilidai kuwa sio za umma. Alakini endopo watuhumiwa watahama na kujs upinzani sitoshangaa ccm wakasema hela za escrow zilizo tilewa BOT zilikuwa za umma
 
CHADEMA na mapenzi ya ghafla na Lowassa!
LOWESHWENI SASAAAA, ILI SIKU NYINGINE MSIRUDIE KUKARIBISHA MAFURIKO!
NB: MAFURIKO HAYACHOTWI KWA KIJIKO!
 
Lowassa siyo fisadi

kikwete alituambia wakati wa kampeni za 2010 pale monduli kuwa lowassa amepata ajali za kisiasa wala siyo kwamba ni fisadi.akasisitiza kuwa lowassa ni mchapakazi na mwadilifu

leo inakuwaje wakazane kuwa lowassa ni fisadi?
 
Ebu tujiulize ccm iliyo kuwa ikimtuhumu Dr Slaa kuwa anapotosha umma pale alipo zungumza swala la Richmond na maswala mengine ya ufisadi ikiwemo meremeta, escrow, n.k na kudai kuwa ana ushahidi.

Aliye kuwa katibu mkuu wa serekali Philemon luhanjo alisema kuwa Dr slaa ni mpotoshaji na ushihidi alio nao niwakugushi. Sasa leo Dr slaa kaja kwenye media akirudia Yale Yale aliyo wahi kuzungumza na ushahidi ulele ambo sasa umegeuka kuwa wa kweli gafla.

Sasa mi napata mkangajiko hapa maana YAKE ni nn??

Wote mtakumbuka kuwa hela za escrow serekali ilidai kuwa sio za umma. Alakini endopo watuhumiwa watahama na kujs upinzani sitoshangaa ccm wakasema hela za escrow zilizo tilewa BOT zilikuwa za umma

Mimi mwenyewe najiuliza haya mapenzi ya ccm kwa Dr Slaa yametoka wapi? Si huyu huyu Dr Slaa aliyesema kuwa Rais amesaini mikataba ya siri na Wachina ili kumuokoa mwanae aliyekamatwa na madawa ya kulevya China? Na Rais alivyoenda Marekani kuna Watanzania walimuuliza Rais je hizi tuhuma ni za kweli? Rais akajibu kuwa hana muda wa kujibu upuuzi. Leo hii wana ccm wanasema Dr Slaa huwa hakulupuki. Sasa leo hii ccm wanatuthibitia kuwa zile tuhuma alizotoa Dr Slaa zilikuwa za kweli.
 
Ili neno la siasa ni mchezo mchafu ni la kiafrika lakini kwa wenzetu weupe siasa ni maisha.
 
Lolote lile analolipanda m2 kwenye ulimwengu wa nyama lzm atalivuna ktk ulimwengu wa nyama,dr ajiandae kwa hilo!
 
CHADEMA na mapenzi ya ghafla kwa Lowassa. Hii hukuiona wee mtoa mada mwenye ubongo tumboni
 
View attachment 283781
Josephine kasha malizana an CCM pesa ziko kwenye account tayari, wamemuhaidia Slaa pia ubunge wa kuteuliwa and uwaziri na East Africa.
 
Lolote lile analolipanda m2 kwenye ulimwengu wa nyama lzm atalivuna ktk ulimwengu wa nyama,dr ajiandae kwa hilo!

Keshavuna mbona? Alikuwa kwenye chama cha wahuni na wamemfanyia uhuni. Kilaaniwe CHADEMA na washiriki wake wote... Amen
 
maji yamewafika shingoni lazma wampe shavu dk. mihogo
 
View attachment 283781
Josephine kasha malizana an CCM pesa ziko kwenye account tayari, wamemuhaidia Slaa pia ubunge wa kuteuliwa and uwaziri na East Africa.

Nina mashaka na usalama wa babu kuhusu hizo hela. Hasa baada ya kuambiwa a/c imefunguliwa kwa jina la Mchumba.
 
Lowassa siyo fisadi

kikwete alituambia wakati wa kampeni za 2010 pale monduli kuwa lowassa amepata ajali za kisiasa wala siyo kwamba ni fisadi.akasisitiza kuwa lowassa ni mchapakazi na mwadilifu

leo inakuwaje wakazane kuwa lowassa ni fisadi?

Ndugu,mama Una huyo clip Dhaifu akimfagilia EL tuwekee.....ni muhimu Sana wakati huu!
 
Back
Top Bottom