CCM na hila za uchaguzi Arumeru

CCM na hila za uchaguzi Arumeru

Joined
Feb 8, 2012
Posts
92
Reaction score
9
Hiki chama CCM ni chama cha kuogopwa kama ukoma.Hivi Lowasa na Mkapa wanataka kuwaambia nini wana Arumeru?Huyu Lowassa alikuwa na kashfa nzito alipokuwa waziri mkuu.Haoni aibu kusimama jukwaani na kuongea upuuzi?
Wana Arumeru mpuuzieni fisadi mkubwa huyu hana jipya.Kura zote kwa CHADEMA.Nasari anafaa kuwa mbunge.
 
hivi gamba limekua tena la kumnadi mgombea wa chama na kina Nape na Olesendeka ambao wanajifanya wanapambana na ufisadi ndani ya CCM. Kweli siwezi kuitenganisha CCM na rushwa na ufisadi. Wakiendelea hivi uvumilivu utaisha wananchi tutatumia nguvu zetu kuwachukulia hatua za kinidhamu.
 
Narrow minded people discuss people thus y

since discusion involve people, then "people" is the subject of our sentence, so you will never get lost by discussing people! remember "the dead clock sometimes speaks true"
 
Back
Top Bottom