ccm na giza totoro

ccm na giza totoro

Baba Hellen

JF-Expert Member
Joined
Jul 2, 2012
Posts
763
Reaction score
91
chama cha mapinduzi hakijitambui wala kujielewa maskini. Hata uwashauri gamba ni gamba waelimishe watanzania kumi kila siku tuwakomboe kutoka katika mkoloni mweusi.NIMEANZA KAZI SITACHOKA HADI KIELEWEKE.
 
Mimi naona ccm na nuru tororo ..... Ni mtazamo wangu tu.
 
Mbona wako vizuri tu ,ni upepo tu utapita 2015 juu na ushindi
 
serikali ya wajinga na dhaifu inaumiza miili inasahau roho! Ref Ulimboka Dr niko kwenye mgomo milele sintotibu tena chini ya Magamba
 
Anzisha chama chako ndugu hata hawa chadema ni mafisadi tu kama sisiem,unajua kama mboe aliuzia chama mgari chakavu tena kwa bei kubwa,unjua kuwa zitto anayo gari aina ya hummer,unajua kuwa lema ni mwizi wa magari,unjua kuwa slaa ni fisadi wa ccbrt...if you need a support anzisha chama lako achana na hizi porojo zilizopo
 
Back
Top Bottom