CCM na CCM ya Magufuli "itakufa" Mara mbili ?

Pius J. Kiwarya Lema

JF-Expert Member
Nov 14, 2013
1,097
566
Kuna Mahojiano ya kada wa CCM yanaendelea Chanel ten kipindi cha baragumu live,
Kuhusu kuchaguliwa kwa Magufuli kuwa mwenyekiti wao.

Huyu kada anashindwa kuelezea chama chake na kurukia vyama vya upinzani ,

Anajidanganya akidai CCM ilikuwa imeoza na mafisadi wameondoka kwa hiyo pombe ni msafi,

Kwake yeye mafisadi ni wale tu waliotoka ccm kwenda upinzani.
Anasema Wapinzani bado sana eti "Dr Slaa alipata kura million mbili Na sasa
wameenda mpaka millon sita , Hizo Milion 4 ni za wanaccm !

CCM siku zote wanadai wana wanachama Mil 6 sasa walipataje million 8 ikiwa
million 4 zilienda Upinzani ?

#Tatizo la CCM ya sasa Hawajui kura zinapatikanaje !

Anamfananisha Magufuli Na Yesu Kristo akidai tofauti Yesu aliwafia watu wote lakini Magufuli aliifia Tanzania ???

Huyu Mtu wa Nazareti Yesu anayedai ni yupi ?

Anasema CCM ilikuwa imekufa lakini sasa imeimarika itadumu milele.

Kwa Maoni yangu anapaswa ajiulize Maswali yafuatayo kabla kujidanganyai !

#Namuuliza CCM itakufa Mara ngapi ?
#Unawajua CCM ni kina Nani ?
#Unajua kilichokuwa kinaipa Ushindi Ccm ?

#Unanjua CCM ina wanachama haisi wangapi ?

#Je CCM inashindaga Uchaguzi kwa kufanya Mema ?

#Mbona watuhumiwa wa ufisadi wapo ccm mpaka bungeni juzi walipigiwa kura Na kushinda ?

Mbona Na wengine tunatarajia kuwaona kesho wakiwa kwenye , .............

CCM Na CCM Magufuli itakufa mara mbili ?
 
Ukawa Mnamuogopa sana magufuli,acheni ife si ndio mtaingia ikulu kirahisi? Sie tutakufa na magufuli
CHADEMA kila mtu kambare la masharubu!
Mara wagome, watukane, waandamane, na mwisho wa siku total work done ni zero.
Sasa wanaye fisadi mkuu na Mr Zero!
Nawapa hongera!
 
Hivi MTU anapozungimzia fisadi Mkuu anamaana nisha nini ?

Sept 17 nilikuwepo:

Kati watuhumiwa Mafisadi 14 walio tajwa Mwembe Yanga ,,
Namba 13 alitajaw njakaya
14 alitajwa liwassa

1 hadi 12 Baadhi yako kesho watakuwa meza kuu, hao ni kwa ufupi tuuu

Bado watuhumiwa wengine wako bungeni !
Sasa Nani fisadi Mkuu !
Mwaka huh ccm mnalo !!!!!!!

Ndo mtajua Maharageni mboga
 
Usikache bunge mkuu wpelekeni huko kwa hoja si kwa maandamano na matusi.
Hapo ndo utaeleweka
 
CHADEMA kila mtu kambare la masharubu!
Mara wagome, watukane, waandamane, na mwisho wa siku total work done ni zero.
Sasa wanaye fisadi mkuu na Mr Zero!
Nawapa hongera!
Wameitisha kamati kuu ya dharura kuadhimisha uchaguzi wa magufuli
 
Kuna Mahojiano ya kada wa CCM yanaendelea Chanel ten kipindi cha baragumu live,
Kuhusu kuchaguliwa kwa Magufuli kuwa mwenyekiti wao.

Huyu kada anashindwa kuelezea chama chake na kurukia vyama vya upinzani ,

Anajidanganya akidai CCM ilikuwa imeoza na mafisadi wameondoka kwa hiyo pombe ni msafi,

Kwake yeye mafisadi ni wale tu waliotoka ccm kwenda upinzani.
Anasema Wapinzani bado sana eti "Dr Slaa alipata kura million mbili Na sasa
wameenda mpaka millon sita , Hizo Milion 4 ni za wanaccm !

CCM siku zote wanadai wana wanachama Mil 6 sasa walipataje million 8 ikiwa
million 4 zilienda Upinzani ?

#Tatizo la CCM ya sasa Hawajui kura zinapatikanaje !

Anamfananisha Magufuli Na Yesu Kristo akidai tofauti Yesu aliwafia watu wote lakini Magufuli aliifia Tanzania ???

Huyu Mtu wa Nazareti Yesu anayedai ni yupi ?

Anasema CCM ilikuwa imekufa lakini sasa imeimarika itadumu milele.

Kwa Maoni yangu anapaswa ajiulize Maswali yafuatayo kabla kujidanganyai !

#Namuuliza CCM itakufa Mara ngapi ?
#Unawajua CCM ni kina Nani ?
#Unajua kilichokuwa kinaipa Ushindi Ccm ?

#Unanjua CCM ina wanachama haisi wangapi ?

#Je CCM inashindaga Uchaguzi kwa kufanya Mema ?

#Mbona watuhumiwa wa ufisadi wapo ccm mpaka bungeni juzi walipigiwa kura Na kushinda ?

Mbona Na wengine tunatarajia kuwaona kesho wakiwa kwenye , .............

CCM Na CCM Magufuli itakufa mara mbili ?
Unamtuhumu anayehojiwa kuongea maswala ya wapinzani akaacha ya ccm.
Wewe naye tunajua ni chadema damu hadi jasho sasa mbona waongelea ya ccm?
Mna tofauti gani?
Afu kama ccm ishakufa inakufaje tena...yaani kichwa cha habari na maelezo yako haviendani kabisaa.
Vuta pumzi boss.
 
Wapiga kura wanyonge ndo wengi na wenye uwezo wa kumuangusha JPM tu.

Mafisadi na wafanyabiashara hawana uwezo wa kumuangusha JPM

Mshahara ameshindwa kuongeza....Hakuna haja ya kuongeza mishahara...Fanya bidhaa ziwe affordable....

anakusanya kodi vizuri na majipu anatumbua,...

Wananchi wanyonge wanakula mlo mmoja, bidhaa za kawaida bei ghali...Serikali ipunguze kodi kwenye hizi bidhaa kama sukari, mafuta kupikia, gesi, n.k

bei ya cementi 8000 ni changa la macho, hakuna Dangote wala nani....propaganda tu.

Serikali ikusanye kodi kwa wafanyabiashara na kufanya maisha ya wanyonge yawe nafuu..... Hakuna haja kuongeza mshahara ....
 
Back
Top Bottom