CCM Mwanza kwisha

Kwi kwi kwi nacheka kiiingereza
 
Sababu watu wanaweza kuja kwenye mkutano halafu matokeo yawe tofauti na mategemeo. Ref to mafuriko awamu iliyopita. Mm sikuwa kwenye mkutano hata mmoja Ila nilipiga kura.
Sasa mkuu ulichaguaje kiongozi/viongozi ambao hukusikia sera zao ?
 
Sasa mkuu ulichaguaje kiongozi/viongozi ambao hukusikia sera zao ?
You tube, magazeti, Tv,na mitandao ya kijamii. Tulikuwa na group la kisiasa pia la whatsapp kulikuwa na nondo haswa, hotuba zinachambuliwa mwanzo mwisho na historia zinafukuliwa.
 
You always psychologically prepared in such a way as defending mechanism, mtabaki hivyo na kuishia kulalamika TU.
Dogo yupo kwenye kampeni hajui walio na smart phone ni wachache. Ubaya wa hizi social platforms kila mwenye simu Ana uhuru wa kuanzisha thread regardless of his/ her illiterate. Mtu kapiga Debe Costa imejaa anakimbia kuandika ujinga kwa social media.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…