CCM Musoma Mjini njooni na mgombea mpya

CCM Musoma Mjini njooni na mgombea mpya

Marwa Chacha

Senior Member
Joined
Feb 5, 2015
Posts
102
Reaction score
51
CCM Musoma Mjini naomba katika uchaguzi mkuu mwaka huu mje na mgombea ubunge mpya asiwe Mathayo tena kwa sababu dalili zinaonesha Vincent Nyerere anaenda kupita bila kupingwa mkimrudisha Mathayo.

Pia dalili zinaonesha CCM kupotea Musoma Mjini pia na mkoa wa Mara nzima na huenda majimbo mengi yakaenda CHADEMS katika uchaguzi huu.
 
Attachments

  • 1423597291359.jpg
    1423597291359.jpg
    66.6 KB · Views: 624
  • 1423597326377.jpg
    1423597326377.jpg
    92.8 KB · Views: 537
Yakimwagika hayazoleki Musoma mjini na Tarime hata CHADEMA wakiweka jiwe litapita.
 
Wana Musoma mjini bado wanamapenzi ya kweli na Vincent nyerere.
 
Well done kijana wa hayati baba wa Taifa mwalimu nyerere. Wana Musoma tuko nyuma yako daima. Mungu akulinde na kukujalia hekima kama Mfalme Suleimani katika utawala wake.
 
Hivi matokeo ya serekali za mitaa Musoma Mjini yalikuwaje kweli????
Mtaa anaokaa Vicent Nyerere CHADEMA tulimsimamisha wani vile????

Dalili ya mvua ni mawingu siyo kiwingu
 
Nyerere anaishi bweri pia naomba nikupe tu tarifaa ndogo chadema ndo wamefanya vizuri kuzidi ccm kutoka viti 2 mwaka 2009 mpaka viti 29 mwaka 2014 na mbili ccm walikimbia mahakamani kupinga.na amini uchaguzi ukirudiwa hizo mitaa 2 chadema wanabeba mchan kweupe na zinaongezeka kufika 31.
 
CCM Musoma Mjini naomba katika uchaguzi mkuu mwaka huu mje na mgombea ubunge mpya asiwe Mathayo tena kwa sababu dalili zinaonesha Vincent Nyerere anaenda kupita bila kupingwa mkimrudisha Mathayo.

Pia dalili zinaonesha CCM kupotea Musoma Mjini pia na mkoa wa Mara nzima na huenda majimbo mengi yakaenda CHADEMS katika uchaguzi huu.

hata mkimsimamisha Kinana Au Mzee wa Gombe, hapo hampati kitu...
 
Nyerere ni mkazi wa bweri tena nyumba yake ipo njia kuu kwenda shule ya parom naye sema anaishi mkendo.huyo sio mkazi wa musoma.pia kumbuka chadema musoma mjini walikuwa na viti viwili tu katika uchaguzi wa 2009.uchaguzi uliopita dec 2014 wameongeza na kufikisha 29 zilikuwa 31 ila ccm walikimbia mahakamni kupinga ushindi wa mitaa miwili mshikamno na zanzber makoko.sasa unaposema mumeshinda musoma wakati nyinyi ndo mumepoteza zaidi nakushanga..
 
Maneno ya humu ndani inelikuwa ndio utakelezaji kama nchi ilishachukuliwa na wahuni wa nchi hiii
 
Hivi matokeo ya serekali za mitaa Musoma Mjini yalikuwaje kweli????
Mtaa anaokaa Vicent Nyerere CHADEMA tulimsimamisha wani vile????

Dalili ya mvua ni mawingu siyo kiwingu

mwenyekiti wa mtaa wake anatoka chama gani?anaitwa nani?
 
CCM chama chenu kimeshajifia,mlinifanyia fitna mkazani kunitoa mimi kwenye uongozi ndipo mtafanikiwa lakini naona bado mnagongwa tu nje nje,wacha mpigwe mimi siyo tena mwanachama wenu
 
Ccm kusema kweli wakimurudisha Mathyo.nyerere anapita bila kupingwa mathyo hana mvuto kwa wanamusoma..
 
Kati ya viti vingapi?
Nyerere ni mkazi wa bweri tena nyumba yake ipo njia kuu kwenda shule ya parom naye sema anaishi mkendo.huyo sio mkazi wa musoma.pia kumbuka chadema musoma mjini walikuwa na viti viwili tu katika uchaguzi wa 2009.uchaguzi uliopita dec 2014 wameongeza na kufikisha 29 zilikuwa 31 ila ccm walikimbia mahakamni kupinga ushindi wa mitaa miwili mshikamno na zanzber makoko.sasa unaposema mumeshinda musoma wakati nyinyi ndo mumepoteza zaidi nakushanga..
 
eee masikini musoma ya nyerere mwasisi wa chama chao!!
 
Back
Top Bottom