Kiongozi, Marando akimtangaza mgombea wa UKAWA kuwa mshindi hata kama ameshinda ndiye atamwapisha? Lkn ni vema ujue kuwa Jaji Lubuva akigeuza matokeo na kumtangaza aliyeshindwa kuwa mshindi huyo ndiye ataapishwa.
UKAWA washinikize kuundwa Tume huru ya Uchaguzi kama Wenyeviti wa vyama vya siasa (akiwemo Kikwete) walivyokubaliana mwaka jana, kuwa iundwe Tume huru ya Uchaguzi ambayo itasimamia Uchaguzi wa mwaka 2015.