Kwa Magufuri nampa √
Kweli huu ni ufisadi uliopendukia Watanzania wanamacho huyu mtu hafai kabisa
ndio wamesahau watanzania sasa hivi wanasema Kula ccm kulala ChademaJambazi sugu na fisadi papa lowasa kamwe hawezi kuwa rais wa tz. Ni mwizi ana fitina hana hoja hawezi kujieleza. Hana ubobezi wa aina yoyote.
Nguvu yake kubwa ni kinunua watz kwa nguvu ya pesa.
Kweli huu ni ufisadi uliopendukia Watanzania wanamacho huyu mtu hafai kabisa
Lowassa sijui akili kaiacha kwenye nini...
Fedha zote hizi atazirudisha vipi?
Hiyo ni kweli kulea ufisadi ccm ndio imekua ajenda yao kuukama habari hii ni ya kweli basi ni balaa mbele kwa mbele, na mwisho wa siku, ni nyasi kuumia!
kuliko membe bora EL membe ni HOPELESS.
kweli wengi bado wajinga kwani wanakimbilia kujiandikisha ili wapate vitambulisho vya kutumia katika mambo mengine kabisa badala ya kupigia kula. ati kitamsaidia kuombea mkopoKamanda Tatizo la Ccm wanafikiri Watanzania baado niwajinga
Tusema Hapana kwa Mafisadi Tarehe 25/10/2015. Kwenye box la kura
Tatizo la nchi hii siyo mtu. Tatizo la nchi hii ni mfumo. Ili tuondokane na kero ya mfumo ulioshindwa kazi, mfumo unaotudhalilisha, ni lazima sasa watanzania waiondoe ccm madarakani ili heshima ya nchi yetu irudi
ndio wamesahau watanzania sasa hivi wanasema Kula ccm kulala Chadema
Swali langu ni moja tu, Je unaamini Tume ya Uchaguzi ya Jaji Lubuva inao uwezo wa kukataa matakwa ya CCM na kumtangaza mgombea wa UKAWA mshindi wa Urais?
Vv
Ndio Maana tunazunguka Tanzania nzima kutoa somokweli wengi bado wajinga kwani wanakimbilia kujiandikisha ili wapate vitambulisho vya kutumia katika mambo mengine kabisa badala ya kupigia kula. ati kitamsaidia kuombea mkopo
Well said mkuu......UKILA NA KIPOFU USIMSHIKE MKONO. ccm ni kipofu tutaendelea kula naye kwa akili
Asante sana tupo pamoja
Watanzania Wakisema ilani ya Chama cha Mapinduzi inakumbatia Mafisadi watakua wanakosea?......Kama samaki na maji!!!