Hizo ni imani potofu.Waliruhusu mikutano baada ya kufanya maridhiano feki,,..unayajua??? Ni kutoisema serikali ya ccm majukwaani...Nioneshe kipande cha clip Hata cha sekunde 1 Mbowe akisema kuhusu madhara ya tozo holela jukwaani
Hii mada ni ya KIPUMBAVU kabisa. Kama unamkimbuka Magufuli aliyefanya mambo kinyume na Katiba basi wewe ni MPUMBAVU na hustahili kuwa Jamii Forums.Demokrasia imeanza kurejeshwa tena Tanzania. Mikutano ya vyama vya siasa imeruhusiwa kwa kiasi na uhuru wa kujieleza unarudi. Upinzani ukiongozwa na CHADEMA umeanza kurudi katika hali yake kabla ya kipindi cha udhalimu.
Nimeona tayari hofu kubwa kati ya wana CCM kutokana na yanayoendelea nchini. Wana CCM wengi wanatamani Magufuli arudi kuja kuwasaidia kwa kuzuia mikutano ya vyama vya siasa au kwa kuminya uhuru wa vyombo vya habari.
Kwa bahati yao mbaya Magufuli hayupo. Enyi CCM msimame sasa kwa akili zenu na miguu yenu mbele ya haki na demokrasia, najua itakuwa ngumu lakini hakuna namna.
CHADEMA hii hii inayobwia asali?Demokrasia imeanza kurejeshwa tena Tanzania. Mikutano ya vyama vya siasa imeruhusiwa kwa kiasi na uhuru wa kujieleza unarudi. Upinzani ukiongozwa na CHADEMA umeanza kurudi katika hali yake kabla ya kipindi cha udhalimu.
Nimeona tayari hofu kubwa kati ya wana CCM kutokana na yanayoendelea nchini. Wana CCM wengi wanatamani Magufuli arudi kuja kuwasaidia kwa kuzuia mikutano ya vyama vya siasa au kwa kuminya uhuru wa vyombo vya habari.
Kwa bahati yao mbaya Magufuli hayupo. Enyi CCM msimame sasa kwa akili zenu na miguu yenu mbele ya haki na demokrasia, najua itakuwa ngumu lakini hakuna namna.
Hujamuelewa mleta mada!! Ni mpumbavu tu kama wewe. Yaani yeye na wewe mna akili za Kipumbavu na hivyo ni WAPUMBAVUHii mada ni ya KIPUMBAVU kabisa. Kama unamkimbuka Magufuli aliyefanya mambo kinyume na Katiba basi wewe ni MPUMBAVU na hustahili kuwa Jamii Forums.
Mungu amemtoa Magufuli kwenye macho ya dunia kwa vitendo vyake viovu ikiwepo kuzuia mikutano ya vyama vya upinzani kinyume na Katiba ya JMT ya 1977. Kuanzia mwaka 1992 Tanzania iliacha mfumo wa chama kimoja na kuleta mfumo wa vyama vingi, lakini Magufuli hakutaka vyama vingine vifanye shughuli za siasa. Alidiriki kuwakamata, kuwafungulia mashtaka na kuwaua wapinzani.
Halafu MPUMBAVU mmkoja JF anaandika anasema tutamkumbuka?? Shenzi, Stupid
Yeye kila siku anahubiri democracy ambayo hata hivyo yeye mwenyewe hajawahi kuiamninWaliruhusu mikutano baada ya kufanya maridhiano feki,,..unayajua??? Ni kutoisema serikali ya ccm majukwaani...Nioneshe kipande cha clip Hata cha sekunde 1 Mbowe akisema kuhusu madhara ya tozo holela jukwaani
Hongera kwa kutumia uhuru wako wa maoni kiupumbavuHujamuelewa mleta mada!! Ni mpumbavu tu kama wewe. Yaani yeye na wewe mna akili za Kipumbavu na hivyo ni WAPUMBAVU
Upuuzi mtupu elewaneni kwanza mlamba asali na mtaka kiki!Demokrasia imeanza kurejeshwa tena Tanzania. Mikutano ya vyama vya siasa imeruhusiwa kwa kiasi na uhuru wa kujieleza unarudi. Upinzani ukiongozwa na CHADEMA umeanza kurudi katika hali yake kabla ya kipindi cha udhalimu.
Nimeona tayari hofu kubwa kati ya wana CCM kutokana na yanayoendelea nchini. Wana CCM wengi wanatamani Magufuli arudi kuja kuwasaidia kwa kuzuia mikutano ya vyama vya siasa au kwa kuminya uhuru wa vyombo vya habari.
Kwa bahati yao mbaya Magufuli hayupo. Enyi CCM msimame sasa kwa akili zenu na miguu yenu mbele ya haki na demokrasia, najua itakuwa ngumu lakini hakuna namna.
Magufuli aliwabeba CCM sasa hayupo tena CCM wana hofu kubwa 2025.Upuuzi mtupu elewaneni kwanza mlamba asali na mtaka kiki!
Kwani yeye naniDemokrasia imeanza kurejeshwa tena Tanzania. Mikutano ya vyama vya siasa imeruhusiwa kwa kiasi na uhuru wa kujieleza unarudi. Upinzani ukiongozwa na CHADEMA umeanza kurudi katika hali yake kabla ya kipindi cha udhalimu.
Nimeona tayari hofu kubwa kati ya wana CCM kutokana na yanayoendelea nchini. Wana CCM wengi wanatamani Magufuli arudi kuja kuwasaidia kwa kuzuia mikutano ya vyama vya siasa au kwa kuminya uhuru wa vyombo vya habari.
Kwa bahati yao mbaya Magufuli hayupo. Enyi CCM msimame sasa kwa akili zenu na miguu yenu mbele ya haki na demokrasia, najua itakuwa ngumu lakini hakuna namna.
Kwa hiyo pamoja na kukiri udhaifu wa CCM, bado unaona hayati Magufuli alivyosigina Katiba na Sheria za nchi kuzuia na kuua demokrasia ilikuwa sawa?Demokrasia imeanza kurejeshwa tena Tanzania. Mikutano ya vyama vya siasa imeruhusiwa kwa kiasi na uhuru wa kujieleza unarudi. Upinzani ukiongozwa na CHADEMA umeanza kurudi katika hali yake kabla ya kipindi cha udhalimu.
Nimeona tayari hofu kubwa kati ya wana CCM kutokana na yanayoendelea nchini. Wana CCM wengi wanatamani Magufuli arudi kuja kuwasaidia kwa kuzuia mikutano ya vyama vya siasa au kwa kuminya uhuru wa vyombo vya habari.
Kwa bahati yao mbaya Magufuli hayupo. Enyi CCM msimame sasa kwa akili zenu na miguu yenu mbele ya haki na demokrasia, najua itakuwa ngumu lakini hakuna namna.
Hii sio sababu pekee, Pia ni kutokana na shinikizo la kimataifa, Magu aliharibu sana.Waliruhusu mikutano baada ya kufanya maridhiano feki,,..unayajua??? Ni kutoisema serikali ya ccm majukwaani...Nioneshe kipande cha clip Hata cha sekunde 1 Mbowe akisema kuhusu madhara ya tozo holela jukwaani