Ccm msimamo wa serikali mbili mumeupata wapi?

Ccm msimamo wa serikali mbili mumeupata wapi?

Salaam wana jf,mimi ni kiwa mwana ccm nimeshangazwa sana na msimamo wa ccm katika muundo wa muungano kuwa ni serikali mbili.mimi kama mwana ccm na kiongozi kwenye eneo langu ninapenda kukiri kwamba hatujawahi kukaa kwanzia ngazi ya chini hadi ya juu kabisa ilikukusanya maoni ya wana ccm juu ya msimamo wa chama kuhusu muundo wa muungano tofauti na tume ya warioba iliyozunguka nchi nzima kukusanya maoni ya watanzania na kuibuka na maoni ya serikali tatu toka kwa wananchi.inavyoonekana kuna watu wasiozidi 80 ndani ya chama wanaotaka serikali mbili kwa manufaa yao binafsi na wengine hao wanaopigia kelele muundo huo ------------ tu.hivi tutafika kweli kichama kama tutaendekeza mfumo huu wa wachache kuamua msimamo wa chama kwaniaba ya wengi?nawasilisha.

Hakuna msimamo wa chama ni msimamo wa mtu binafsi kwa maslahi ya chi hivi. Wewe unaetaka serikali 3. Na inaitaka Tanganyika. Hebu tujadili kwa uffupi xana. Hivi unaposema serikali 3 maana yake marais watatu je? Watakapostaafu hawa maraisi na mawazili wao wakuu tutakuwa na mzigo wa kuwatunza maraisi wangapi? Alafu baadaa ya miaka 20 tutakuwa na maraisi wangapi kuwatunza na kuwalea je huo si mzigo wa baadae wa kizazi chetu. Alafu tinaitakaka Tanganyika wooote tunaoitaka Tanganyika tuna umli wa miaka mingapi? Maana yangu Tanganyika ni ya kikoloni ni ya utumwa je? Tunataka turudi utumwani na kwenye ukoloni tutafakari
 
Hakuna msimamo wa chama ni msimamo wa mtu binafsi kwa maslahi ya chi hivi. Wewe unaetaka serikali 3. Na inaitaka Tanganyika. Hebu tujadili kwa uffupi xana. Hivi unaposema serikali 3 maana yake marais watatu je? Watakapostaafu hawa maraisi na mawazili wao wakuu tutakuwa na mzigo wa kuwatunza maraisi wangapi? Alafu baadaa ya miaka 20 tutakuwa na maraisi wangapi kuwatunza na kuwalea je huo si mzigo wa baadae wa kizazi chetu. Alafu tinaitakaka Tanganyika wooote tunaoitaka Tanganyika tuna umli wa miaka mingapi? Maana yangu Tanganyika ni ya kikoloni ni ya utumwa je? Tunataka turudi utumwani na kwenye ukoloni tutafakari

ahsante kwa mawazo yako mazuri,kwanza kabisa napenda kukumbusha kwamba linapokuja swala la haki hatuangali gharama ndio maana utaona kwamba wakati wavita vyaukombozi wa tanganyika au zanzibar kunawatu iliwagharimu uhai wao(yaani kufa)kwa ajili ya kudai haki yao ya kujitawala.kuhusu suala la kutunza viongozi wakitaifa sio lazima liwe katika mfumo uliopo sasa vilevile haliwezi kua kigezo cha kung'ang'ania serikali mbili.leo hii tuna waziri mkuu wa jmt lakini zanzibar hajulikani kwenye katiba yao je unataka kuniambia kwamba atakapostaafu serikali ya zanzibar itashiriki kumtunza?huo ni mzigo wa tanganyika.tunamawaziri zaidi ya arobaini wa muungano je zanzibar inashiriki kuwalipa mishahara na marupurup mengine?jibu ni hapana.kwa hiyo ukitazama vizuri utakuta kwamba huu mfumo wa serikali mbili ni mzigo mzito kwa watanganyika kubeba mzigo waviongozi wa muungano pekeyao.ndio maana tunaotetea serikali tatu tunasema suala la kusema itakuwa gharama sikweli maana hizo ni propaganda tu hakuna aliye toa ushahidi waki takwimu.katiaka serikali tatu serikali ya muungano itakua na wzara zisizozidi 5 badala ya hizi arobaini na zasasa.serikali ya tanganyika itakua na wizara chache ambazo itaweza kuzisimamia kiurahisi na kwa ufanisi mkubwa kama ilivyo kwa wenzetu zanzibar.kuhusu gharama za kuendeshea serikali ya muungano mbona imepita miaka 30 leo toka serikali ya zanzibar ilipoacha kuchangia gharama za kuendeshea serikali ya muungano na bado mambo ya muungano yanaenda ikwemo mwaziri,rais,wabunge,mabalozi na watumishi wengine wengi kupata mishahara yao bila kuchangiwa na zanzibar.huoni kama pesa zipo?kibaya zaidi katika mfumo huu wa serikali 2 kuwa na raia wawili(marais wasio wanajeshi)wanaopigiwa mizinga niwapi uliona katika nchi moja marais wanapigiwa mizinga wawili?katika mfumo wa serikali tatu atakaepigiwa mizinga ni rais wa muungano tu maana yy ndiye atakae kua amiri jeshi mkuu tofauti na mkanganyiko wa sasa.kwa mfano rais kikwete amechaguliwa na wananchi wa tanganyika na zanzibar ilikumpa uhalali wa kuwa rais wa jamhuri,iweje leo rais aliye chaguliwa na wazanzibar pekee(shein)akaguwe gwaride la heshima ndani ya muungano huku amiri jeshi mkuu(rais wa jmt)akishuhudia kutoka jukwani?kwa kifupi minaona kwa wakati uliopo sasa na mazingira tulionayo serikali 3 ndio muafaka.wanaotaka serikali2 wajiandae kisaikolojia kufanya mambo yao katika muundo waserikali 3 maana wa meshindwa kutetea serikali 2 kwa hoja zenye mashiko zaidi ya kutoa sababu nyepesinyepesi.nadhani utakua umenielewa kaka.
 
Mkuu unataka ccm wabadilike kwa kipi kwa nini tunakuwa na akili za kutojua ukweli mimi naamini ccm wako sawa na wao ndiyo wenye dhamana ya kulinda amani na utulivu wa nchi hii.

aliye kuambia alikudanganya dhamana ya kulinda amani,utulivu na mshikamano ni lako wewe,yule,mimi na watanzania wote bila kujali itikadi za kidini,siasa,kabila na rangi ya mtu.
 
Kwani kwa sasa tunaserikali ngapi? Achana na mawazo ya warioba yaliyopotoka yaliyotokana na data za kupika halafu wanatuamnia maoni ya wananchi.

Acha kuwa kipofu Zenj tayari ni nchi yenye mamlaka kamili sasa bara kuna nini? Kama zenj wana katiba yao na bara hatuna katiba halafu tunataka katiba ya muungano sasa tunaungana nchi ya Zenj na ipi? Hiyo ya pili kwa nini haina mamlaka kamili kama hiyo nyingine? Tuache kiini macho.
 
muungano wa jamhuri ya tanzania. sasa ni muungano wa inch ya zanzibar na wapi?. Jamani hata mtoto mdogo atauliza muungano upi huu? tusidanganyane jamani. kwa nn tung'ang'anie na tulazimishe? ccm wanajambo lenye masirahi kwao, ni heri waseme tuwaelewe na si kurazimisha mpaka wengne wanalia na kuhubiri kuwa serikali 3 italeta vita, udini n.k
waseme wafunguke
 
Back
Top Bottom