Centrehalf
JF-Expert Member
- Jun 9, 2013
- 509
- 145
Muungano unaolindwa na chama kimoja hauwezi kudumu kamwe, siku chama hicho kikiondolewa madarakani muungano hakuna! Ndani ya ccm waamuzi hawazidi 60, wengi wao huburuzwa tu ndani ya chama chao, sio wabunge wala wanachama wa kawaida!
tatizo hatujaona ccm mlio kinyume mkija juu...mmo mitandaoni tu
ni kweli mkuu, watanzania tusipoamka tutashitukia tunaongozwa na mawakala wa interahamwe au mashwetwani!..Wajumbe wa NEC ccm hawafiki 60.
mkuu tatizo ni njaa tupu, watanzania wa siku hizi wameweka maslahi binafsi mbele kuliko maslahi ya taifa lao!tatizo hatujaona ccm mlio kinyume mkija juu...mmo mitandaoni tu
mkuu kama mnalipenda taifa kuliko vyama, mnaweza mkaunda umoja wenu wa wanaccm walio huru kimawazo,badala ya kuburuzwa na vigeugeu kina jk.tutaongelea wapi kaka zaidi ya hapa mtandaoni?
exactly..Hiki chama kililelewa katika mfumo wa zidumu fikra sahihi za mwenyekiti wa chama, kwahiyo atakavyosema mwenyekiti na wote ndiyo hivyohivyo.
Siku zote kuwa mwanachama wa maccm kunakuhitaji uwe na akili ya kimaiti iti hivi! maana ni mabnafsi mno. Nawachukia sana
Hiki chama kililelewa katika mfumo wa zidumu fikra sahihi za mwenyekiti wa chama, kwahiyo atakavyosema mwenyekiti na wote ndiyo hivyohivyo.
Muungano unaolindwa na chama kimoja hauwezi kudumu kamwe, siku chama hicho kikiondolewa madarakani muungano hakuna! Ndani ya ccm waamuzi hawazidi 60, wengi wao huburuzwa tu ndani ya chama chao, sio wabunge wala wanachama wa kawaida!
mkuu tatizo ni njaa tupu, watanzania wa siku hizi wameweka maslahi binafsi mbele kuliko maslahi ya taifa lao!
ni kweli mkuu, watanzania tusipoamka tutashitukia tunaongozwa na mawakala wa interahamwe au mashwetwani!..
Kwa design hii hatuwezi kufika popote... Hembu ccm badilikeni,
Nakubaliana na wewe kabisa mkuu hawa ukawa ni genge fulani la watu waleta machafuko kwenye nchi tuwalaani kabisa.ukawa = boko haram!
Mkuu unataka ccm wabadilike kwa kipi kwa nini tunakuwa na akili za kutojua ukweli mimi naamini ccm wako sawa na wao ndiyo wenye dhamana ya kulinda amani na utulivu wa nchi hii.Kwa design hii hatuwezi kufika popote... Hembu ccm badilikeni,