Centrehalf
JF-Expert Member
- Jun 9, 2013
- 509
- 145
Salaam wana jf,mimi ni kiwa mwana ccm nimeshangazwa sana na msimamo wa ccm katika muundo wa muungano kuwa ni serikali mbili.mimi kama mwana ccm na kiongozi kwenye eneo langu ninapenda kukiri kwamba hatujawahi kukaa kwanzia ngazi ya chini hadi ya juu kabisa ilikukusanya maoni ya wana ccm juu ya msimamo wa chama kuhusu muundo wa muungano tofauti na tume ya warioba iliyozunguka nchi nzima kukusanya maoni ya watanzania na kuibuka na maoni ya serikali tatu toka kwa wananchi.inavyoonekana kuna watu wasiozidi 80 ndani ya chama wanaotaka serikali mbili kwa manufaa yao binafsi na wengine hao wanaopigia kelele muundo huo ------------ tu.hivi tutafika kweli kichama kama tutaendekeza mfumo huu wa wachache kuamua msimamo wa chama kwaniaba ya wengi?nawasilisha.