Mwamba Usemao Kweli
JF-Expert Member
- Oct 5, 2012
- 744
- 186
Tuwaogope sana sampuli hii ya viongozi wanaotumia Fedha nyingi, kujenga Makundi ndani ya chama, kuzushia wenzao uwongo kupitia vyombo vya habari na kutisha wenzao ili wapate madaraka makuu ya nchi.
CCM rudisheni chama katika misingi yake ya kutetea wanyonge ambao ni wakulima na wafanyakazi wa taifa hili.
Achaneni na madalali wa ufisadi.
CCM rudisheni chama katika misingi yake ya kutetea wanyonge ambao ni wakulima na wafanyakazi wa taifa hili.
Achaneni na madalali wa ufisadi.