Ccm mpya!

Jile79

JF-Expert Member
Joined
May 28, 2009
Posts
17,668
Reaction score
13,271
Hii ndiyo ccm mpya niionavyo kwa sasa......hawana sera tena....viongozi wake mawazo yao yameganda......wamechoka kufikiri.......matokeo yake wamekufa pamoja na ccm yao.



ccm....ccm......ccm....ccm.....ccm......ccm....ccm
 


When the people of the world all know beauty as beauty, there arises the recognition of ugliness
 
sometimes yes but sometimes no!
When the people of the world all know beauty as beauty, there arises the recognition of ugliness
 
humo amelala jk na makamba
 

Hiyo siyo CCM,angalia kwa makini rangi ya jeneza inafanana(inawiana) na rangi ya vazi rasmi (kombati) la CHADEMA.Nadhani ndani ya jeneza hizo wako viongozi wa CHADEMA
 
Inawezekana ni kweli kutikana na tafsiri ya ubongo wako ktk kitengo cha rangi
ukweli unauma sana..................ndiyo yaliyowapa hata ccm halisi baada ya kukimbia ukweli wa dr.slaa na kuanza kutuletea upuuzi wa kuchafuana.......hata wewe ukisema hivyo lkn ukweli unabadi palepale wewe endelea kuitafsiri rangi.......wmingine akisema ile ni rangi nyeupe sitakataa kwani itakuwa ndiyo tafsiri halisi ya ubongo wake
hiyo siyo ccm,angalia kwa makini rangi ya jeneza inafanana(inawiana) na rangi ya vazi rasmi (kombati) la chadema.nadhani ndani ya jeneza hizo wako viongozi wa chadema
 
Nilivyofungua hii sredi kwa hasira,nikajua unataka kuwafyagilia.Lol,ngoja nishushe munkari kwanza.
 
Unajua ukweli ni kwamba,
"tusipojichunguza kwa nini hatuendelei wakati tunapata misaada mingi (kitu ambacho sipendi) na tuna rasilimali nyingi kuliko nchi nyingi za afrika hatutakaa tuendelee daima".
Kikwete atatuachia nchi katika mikono ya wahisani, sera zake hovyo, kauli mbiu usanii mtupu, na hili la kilimo mkwanza hakuna hata kiongozi wa kupigiwa mfano jamani wanataka tulime sisi kisha wale wao keli ni uungwana huo?
 
hawezi kutembea hata kwenye falsafa yake mwenyewe kwa mfano saaizi anakataa kusema maisha bora kwa kila mtz kwani anajua aliwadanganya wakampa kula akala na amewatosa na anataka tena.........
 
nilivyofungua hii sredi kwa hasira,nikajua unataka kuwafyagilia.lol,ngoja nishushe munkari kwanza.

hivi kweli kuna kitu gani cha kuwafagilia ccm?
Labda tuseme kwamba ni mabingwa wa usanii kwa ahadi zisizotimizwa, mafisadi number moja, mabingwa wa siasa za kuchafuana, mabingwa wa kula rushwa, heko kwa ubadhilifu wa mali za uma, aisee wanaweza kushinda kwa hayo. Kila ukimmulika ccm amechafuka wala huna haja ya kupoteza nguvu kumchafua. Tatizo ni kwa wananchi kushindwa kutofautisha kati ya black and white (namaanisha nyeusi na nyeupe jamani kwa msisitizo)
 
Wakizikwa Makamba atafufuka na chama cha kutetea walemavu (maana hiyo majeneza kuenea wote lazima wengine wakunjwe), katibu wake atakuwa Rostam. Lowasa mweka hazina:smile-big:
 
Wakizikwa Makamba atafufuka na chama cha kutetea walemavu (maana hiyo majeneza kuenea wote lazima wengine wakunjwe), katibu wake atakuwa Rostam. Lowasa mweka hazina:smile-big:
Adui yako mwombee njaa lakini usimwombee kifo,hivi kushindana na maiti ni sawa?Vyama vichuane ndio ushindi wa ujasili.
 
Adui yako mwombee njaa lakini usimwombee kifo,hivi kushindana na maiti ni sawa?Vyama vichuane ndio ushindi wa ujasili.

Mkuu ukimwombea njaa maana yake unamwombea afe. Tunajua mtu akikosa chakula hufa!:becky:
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…